Kuna raia wa nje anataka kunitapeli

Kuna raia wa nje anataka kunitapeli

dr namugari

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2022
Posts
10,466
Reaction score
18,206
Nimetumiwa ujmbe kwa njia ya Whatsapp kwa namba zinazo anzia na +62 ambazo hata sijui Ni za nchi gani na kunieleza kuwa yey Ni HR manager na anataka kunipa ajira ya kuweza kuingiza kias Cha shilingi laki moja had laki 5 kwa kufanya Kaz atakazo nipangia yeye

Je huu si utapeli

Je Kuna Rai ambae amewai fanya Kaz na huyu agent au Ni tapeli la kimataifa

Naweka screen shot alizonitumia
Screenshot_20240424-102238.png
 
VIP niendele kuchati nae au nimlime tofali zito
 
Laki 1 kwa siku au mw

By the way, huyo ni tapeli. Na wala hayuko nje ya nchi, yuko hapo Buguruni tu anakuchora.

Simply,mwambie bloody fu**n zake!
 
Hivi kumbe inawezekana kutafutwa na mtu usiyefahamiana naye na akahitaji na kukuajiri kabisa..!!!! ¡

WATU MNA SIRI SANA. 🙌🏽 🙌🏽 🙌🏽
ata usiskitike bwan,,sema tu upewe connection
 
Nimetumiwa ujmbe kwa njia ya Whatsapp kwa namba zinazo anzia na +62 ambazo hata sijui Ni za nchi gani na kunieleza kuwa yey Ni HR manager na anataka kunipa ajira ya kuweza kuingiza kias Cha shilingi laki moja had laki 5 kwa kufanya Kaz atakazo nipangia yeye

Je huu si utapeli

Je Kuna Rai ambae amewai fanya Kaz na huyu agent au Ni tapeli la kimataifa

Naweka screen shot alizonitumia
View attachment 2972525
Nimeishia hapo " I am work at HR"
 
Back
Top Bottom