Mvinyo mpya
JF-Expert Member
- Aug 24, 2013
- 1,052
- 2,866
Hicho kiingilish sasaš
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha uoga mkuu, chat nae. Ukiona haeleweki, mtongozeNimetumiwa ujmbe kwa njia ya Whatsapp kwa namba zinazo anzia na +62 ambazo hata sijui Ni za nchi gani na kunieleza kuwa yey Ni HR manager na anataka kunipa ajira ya kuweza kuingiza kias Cha shilingi laki moja had laki 5 kwa kufanya Kaz atakazo nipangia yeye
Je huu si utapeli
Je Kuna Rai ambae amewai fanya Kaz na huyu agent au Ni tapeli la kimataifa
Naweka screen shot alizonitumia
View attachment 2972525
Cha kwako kikoje boss kat ya watu waanuuzi ni Hawa mnajifanya mnajuwa sna kingerezaHicho kiingilish sasaš
Acha uoga mkuu, chat nae. Ukiona haeleweki, mtongoz