Kuna raia wa nje anataka kunitapeli

Muulize umetoa wapi namba zangu?
Ila kama ulienda kwenye maombi na ukakanyaga mafuta ili upate kazi, hapo ndio unajibiwa uyo ni malaika kakuletea fursa
Nimekanyaga sna mafuta aisee
 
Mzee umeshindwa ata kugugo kujua hiyo ni country code ya nchi gani ....tukiwambia unatuketea chai utalalamika?
 
Mkuu hy n kweli kabisa, miezi kama miwili hy namba ilinitafuta ila nkapuuzia ila juzi kati baada ya kutimiza process zao sasa hv nakula laki mbili tuu kama mara 6 tangu nimejiunga nao
 
Siyo kila kitu nagoogle mm hat Muda Sina
Umeona thread yako maneno uliyoandika kuja huku JF kuuliza???.. umeandika essay kuelezea huo utapeli .... Kwamba Huku ndio Una Mda Sio .!? Ila wabongo bhana [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ha
Hakuna utapeli
 
VIP niendele kuchati nae au nimlime tofali zito
Kikubwa umeshajua na kushitukia dili.

Ninavyojua aina zote za utapeli huanza hivyo na kuishia kuombwa hela kabla huduma tarajali haujaipata.

Iwe bahati nasibu, iwe zawadi nk nk. Huoneshwa kama shoo na kisha kutakiwa kutuma kiasi fulani kwa ajili ya kulipia gharama za usafirishaji ama gharama za fomu.

Kwa hiyo usiishie naye karibu, mjibu kwa unyeyekevu kwamba ndiyo wewe ni mhitaji na hiyo kwako ni fursa, ili uone sasa details za mfumo wa utapeli wake mpaka mwisho.

Utakapokuwa umejiridhisha na kuuona utapeli huo unapoishia ndiyo hapo unam'banika'.

Utapeli ni elimu isiyokuwa na mwisho, ni vema tukaendelea kujielimisha nayo ili kunoa bongo zetu kwa maarifa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…