Kuna rais bora kuwahi kutokea Taifa hili zaidi ya Samia suluhu Hassan?

Makonde plateu

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2022
Posts
1,443
Reaction score
3,480
Mnyonge mnyongeni lakini haki yke mpeni aisee Rais samia amefanya mengi sana kwa muda huu mfupi mpka watu wameshangaa kwa hayo mazuri aliyoyafanya japo aliikuta nchi katika hali ngumu lakini aimetendea haki nafasi yake kama Rais kwa 4R zake zimeleta matunda yake aisee.

Mpaka wapinzani wanamsifia na hakuna Rais ambaye mpaka wapinzani wanamsifia kwa kuupiga mwingi wakuu niambie Rais gani ambaye wapinzani anasifiwa Rais yupi? Niambieni wakuu aisee! Hongera Rais samia kwa kuupiga mwingi

Rais samia kipenzi cha WaTanzania wanyonge na walala hoi ametoa mabilioni mengi kwa wakati mmoja kuhudumia waTanzania wengi Rais,Rais kipenzi cha wanyonge na masikini

Hongera Rais samia,Tumpe kura 2025 atuvushe na atutoe kwenye umasikini

0747740747.

 
Mnyonge mnyongeni lakini haki yke mpeni aisee Rais samia amefanya mengi sana kwa muda huu mfupi mpka watu wameshangaa kwa hayo mazuri aliyoyafanya japo aliikuta ...

Doh
Kuna maandiko mengine hata yeye mwenyewe akisoma anashangaa
 
Namba yake imesajiliwa kikamilifu kwa alama za kidole cha kati kwa jina Abdul S. ....
 
Uchawa ni dhambi
 
Hakuna, yaani kila nikimuwaza nabubujikwa na Machozi ya furaha….@Lucas mwashambwa
 
Bashiru Hussein Bwanali tafuta kazi ufanye utaliwa kiboga
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ uko sawa kweli kichwani? Acha njaa zakishamba unaaibisha familia yako kijana.
 
Huyu Mwashambwa mwingine in the making
 
Hata Wapinzani na Suku gang wasipomsifia ila haiondoi Wala kufuta huo ukweli kwamba ni Bora sio tuu kwenye mambo yenu ya saisa Bali hana wa kulinganisha kwenye delivery na utulivu wa akili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…