Kuna rais bora kuwahi kutokea Taifa hili zaidi ya Samia suluhu Hassan?

Kuna rais bora kuwahi kutokea Taifa hili zaidi ya Samia suluhu Hassan?

Mnyonge mnyongeni lakini haki yke mpeni aisee Rais samia amefanya mengi sana kwa muda huu mfupi mpka watu wameshangaa kwa hayo mazuri aliyoyafanya japo aliikuta nchi katika hali ngumu lakini aimetendea haki nafasi yake
Unaujua ukweli lakini umeamua kuwa mjinga na mpumbavu Ili ujidanganye wewe mwenyewe na nafsi yako...

Unaujua ukweli kuwa katika ma - Rais wote tangu uhuru wa Tanganyika mwaka 1961 hatujawahi kuwa na Rais bomu na asiyeijua wala kuiweza kazi ya u Rais kama huyu bibie wa Kizimkazi...!

Acha ukuda, na kwa hili nyamaza kimya kibisa, usituchefue...

Kama ni mzuri kwako kwa kuwa amekuhonga pikipiki za hongo ya waarabu wa Dubai na Oman kwa kuwapa bandari zetu Watanganyika, hifadhi za mbuga na misitu yetu pamoja na kiwanja cha ndege cha KIA, basi wewe ni mjinga na ni mpumbavu sana...!!
 
Kwa JPM-Mlisema hivyo hivyo! Kwa JMK-Mlisema hivyo hivyo! Kwa BWM-Mlisema hivyo hivyo!
Chawa wa Chama pendwa mna mawazo mgando!
 
K
umsifia mtu ni njaa? 😂😂😂
Njaa zakijinga sana hizi mzee yani unaanzaje kumsifia mtu? Yupo pale kwa mujibu wa sheria na katiba na yupo kazini na kazi yake ni kutuhudumia wananchi, sasa ukisifia pia kosoa akikosea.
 
Back
Top Bottom