Mzalendo120
JF-Expert Member
- Jul 2, 2022
- 1,842
- 2,410
Habari ya kazi wana jukwaa.
Kuna habari zinatembea sana mitandaoni kwamba kesho kwenye sherehe za siku ya wanawake duniani ambapo BAWACHA wataadhimisha siku hiyo mkoani kilimanjaro na mgeni rasmi atakua mh.Rais Samia Suluhu Hasan.
Watu wengi sana wanadai itakua nisiku rasmi pia kuwasamehe akina Mdee kwakigezo cha maridhiano. Ikiwa hivyo sio mbaya maana maridhiano ni jambo jema
Swali langu
Je nikwanini watu hawafikirii kwamba akina Mdee wataenda kusamehe ubunge wao na kuamua kuomba msamaha kwa viongozi wao na wanachama wa chama chao.