Kuna ramli kuwa Mdee na wenzake 18 watasamehewa

Kuna ramli kuwa Mdee na wenzake 18 watasamehewa

Kuna uhusiano mkubwa Sana Kati ya Mambo ya chama na familia.
Niwe chadema halafu waif anijazie Madera ya kijani ndani ya nyumba yangu? Labda Kama Mimi sio mkurya.
Kwani akiyaleta madera ndani na skafu za chama chake utamfabyaje sasa
Hujui kama kila mtu ana haki zake
 
Mbowe atafanya lolote kwasasa kwa jina la maridhiano ili aendelee kupata Ruzuku ya kuendesha chama

Hali ya uchumi ni ngumu, ni vigumu kuwachangisha pesa wananchi kwaajili ya kuendeshea mikutano, hawatoi

Mwenye ufahamu ataelewa.
 
Mbona swali lako la kitoto sana! Huwezi hata kuunganisha nukta?

Kilichoifanya CDM isipeleke majina ya viti maalumu ni msimamo wake wa kutotambua matokeo ya uchaguzi Mkuu 2020.

Huo msimamo ulienda sambamba na kususia ruzuku kwa hoja ileile.

Kwa sasa wanapokea ruzuku means wanatambua matokeo Yale ni halali hivyo itakuwa ni ukichaa kuendelea na ule msimamo dhidi ya akina Mdee.

NB:Kilichomo kwenye maridhiano kufanywa siri ni upumbavu!
 
MaCHADEMA acheni mara moja kula ruzuku zao. Kwanza hawahitaji kusamehewa MaCHADEMA ndio mnawahitaji kina Mdee wao walaaaa. Na kesi wanashinda dadadeki.
 
Kwa sasa wanapokea ruzuku means wanatambua matokeo Yale ni halali hivyo itakuwa ni ukichaa kuendelea na ule msimamo dhidi ya akina Mdee.
Kwahiyo ukitambua uchaguzi ndio inahalilisha forgery kwamba mwanachama yoyote anaamka tu asubuhi anajipa ubunge bila kufuata utaratibu?! Mbona mnaongea utumbo.

Ni hivi Mdee tushamalizana nao wametimuliwa sio wanachama wa Chadema Tena so hata wakibakia bungeni 2025 itabidi watafute chama kingine maana hawana Kadi za Chadema.
 
MaCHADEMA acheni mara moja kula ruzuku zao. Kwanza hawahitaji kusamehewa MaCHADEMA ndio mnawahitaji kina Mdee wao walaaaa. Na kesi wanashinda dadadeki.
Kura ndio zinazaa ruzuku na viti maalum. Unless ungesema Chadema wapeleke list rasmi ya wabunge ila sio kubaki na wale ambao wamejipeleka. Viti maalum mkifukuzwa NEC inateua wengine kutokana na majina yanayopelekwa na chama, Wala sio shida.
 
Back
Top Bottom