Mzalendo120
JF-Expert Member
- Jul 2, 2022
- 1,842
- 2,410
Hizo ndio siasa za chuki. Ona unajadili watu unaowaita wajinga. Mwenye akili hawezi jadili wajingaWewe unatulliza sisi mambo ya wale wajinga wa chadema sisi tunajuaje
Hakuna muda maalum wa mtu kuacha ulajikinyume chake kwa maana waache ulaji,kizembe zembe tu waache kiinua mgongo cha bunge.kama wangekua na moyo huo wangefanya zamani!.
Ila mumewe anataka wafutiwe ubunge na wafukuzwe chama. Hapo napo pana maswali mengiKishoa Yuko kwenye Hilo kundi. Simu moja tu wanasamehewa.
Mumewe yupi? Huu mchepuko au tumbili?Ila mumewe anataka wafutiwe ubunge na wafukuzwe chama. Hapo napo pana maswali mengi
Kuna jamaa nikiongozi hapa kwenye chama chao amewahi kuhojiwa na Mtozi nyanda nadhani akasema yeye anaafiki mke wake afukuzwe chama. Akasema hakuna uhusiano wa mambo ya chama na mambo ya familiaMumewe yupi? Huu mchepuko au tumbili?
Kuna uhusiano mkubwa Sana Kati ya Mambo ya chama na familia.Kuna jamaa nikiongozi hapa kwenye chama chao amewahi kuhojiwa na Mtozi nyanda nadhani akasema yeye anaafiki mke wake afukuzwe chama. Akasema hakuna uhusiano wa mambo ya chama na mambo ya familia
KWA HIYO HUTAKI WASAMEHEWE? WAJINGA MNAONGEZEKA SANAWewe unatulliza sisi mambo ya wale wajinga wa chadema sisi tunajuaje
Wajinga wangekaa Meza moja na RAIS? MJINGA UTAKUWA WEWE usiyejua Umuhimu wa Chadema kwa Serikali ya Ccm Bila Upinzani Hakuna MikopoWewe unatulliza sisi mambo ya wale wajinga wa chadema sisi tunajuaje
Hahaaa vita haina macho murrraKuna uhusiano mkubwa Sana Kati ya Mambo ya chama na familia.
Niwe chadema halafu waif anijazie Madera ya kijani ndani ya nyumba yangu? Labda Kama Mimi sio mkurya.