Mzalendo120
JF-Expert Member
- Jul 2, 2022
- 1,842
- 2,410
- Thread starter
-
- #21
Kwani akiyaleta madera ndani na skafu za chama chake utamfabyaje sasaKuna uhusiano mkubwa Sana Kati ya Mambo ya chama na familia.
Niwe chadema halafu waif anijazie Madera ya kijani ndani ya nyumba yangu? Labda Kama Mimi sio mkurya.
Wajinga wangekaa Meza moja na RAIS? MJINGA UTAKUWA WEWE usiyejua Umuhimu wa Chadema kwa Serikali ya Ccm Bila Upinzani Hakuna Mikopo
CHADEMA itaonekana haina msimamoItakua aibu sana kwa wale wamama wenzao walikua wanawananga ndani ya chama
Na Ndio mana Mbowe amemualika Rais, ili ikaonekane ni Mama ndio kawaombea msamaha
KumbeWalisha samehewa siku nyingi mbona!
Kwahiyo ukitambua uchaguzi ndio inahalilisha forgery kwamba mwanachama yoyote anaamka tu asubuhi anajipa ubunge bila kufuata utaratibu?! Mbona mnaongea utumbo.Kwa sasa wanapokea ruzuku means wanatambua matokeo Yale ni halali hivyo itakuwa ni ukichaa kuendelea na ule msimamo dhidi ya akina Mdee.
Kura ndio zinazaa ruzuku na viti maalum. Unless ungesema Chadema wapeleke list rasmi ya wabunge ila sio kubaki na wale ambao wamejipeleka. Viti maalum mkifukuzwa NEC inateua wengine kutokana na majina yanayopelekwa na chama, Wala sio shida.MaCHADEMA acheni mara moja kula ruzuku zao. Kwanza hawahitaji kusamehewa MaCHADEMA ndio mnawahitaji kina Mdee wao walaaaa. Na kesi wanashinda dadadeki.
Aiseee kumbeNa Ndio mana Mbowe amemualika Rais, ili ikaonekane ni Mama ndio kawaombea msamaha