britanicca
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 16,295
- 33,994
- Thread starter
-
- #221
OnhooDhambi waliyoitenda akina Halima James Mdee kwa Chadema ni zaidi ya ile Yuda Iskarioti alimtendea Yesu Kristo!
Nikwamaandishi yaliyowapelela bungeni we hujiulizi nani alisaini nyaraka zulizipokelewa na tume kuwapokea wabunge hao? Kama siyo mnyika na mbowe ndiyo wahusika na kama siyo wao wangeshaenda mahakamani muda mrefu kushitaki wamefojiwaSawa! Swali je baraka hizi ni kwa maneno au maandishi?
Moderator nao sijui ni chadema ? Ukiandika kitu Cha kuisema chadema Uzi haurudiNilileta mada nyeti kuanika hilo humu Leo mchana moderators wakailamba nzima nzima na kuipotezea na kuitupa huko
SureHata mimi nawaza hivyo.
Hata lile kanusho la kutopokea ruzuku hata siliamini. [emoji21]
Wanataka ruzuku kwa udi na uvumbaSure
OnhoooDhambi waliyoitenda akina Halima James Mdee kwa Chadema ni zaidi ya ile Yuda Iskarioti alimtendea Yesu Kristo!
OnhooChadema na ruzuku ni kama mgonjwa na uji!
GameTunacho hofia hii inaweza ikawa game
Imefahamikabritanicca wewe umesikia sauti inakujia.
wapo walioona kwa macho,ni swala la muda tu,itafahamika tu.
Tuliyaona haya mamboUna akili sana mtoa hoja
HakikaMkuu vichwa vingi unavyodili navyo reasoning ipo very low. Angalia maswali wanayouliza majibu yapo wazi sana. Watu hawajui Ila fukuza ya wabunge ilikuwa zuga. Ndugai alisema alipokea barua toka kwa Mnyika ikiwa imesainiwa, mwenyekiti wa tume ya uchaguzi akadhibitisha. Kama sio kweli mbona Mnyika hajawahi kwenda mahakamani kudai sahihi yake imefojiwa..!???????
Halafu nyie mna utani sana na maisha ya watu. Yaan mnyika aende mahakaman apoteze ugali wake kirahisi kiasi hicho., We unadhan ataendeshaje familia na kutunza jina hapa mjiniMkuu vichwa vingi unavyodili navyo reasoning ipo very low. Angalia maswali wanayouliza majibu yapo wazi sana. Watu hawajui Ila fukuza ya wabunge ilikuwa zuga. Ndugai alisema alipokea barua toka kwa Mnyika ikiwa imesainiwa, mwenyekiti wa tume ya uchaguzi akadhibitisha. Kama sio kweli mbona Mnyika hajawahi kwenda mahakamani kudai sahihi yake imefojiwa..!???????
HeeeUpinzani kwa sasa limebaki jina tu hakuna upinzani kwa hivi sasa hao wote wapo kwa ajili ya matumbo yao tu.
Dhambi waliyoitenda akina Halima James Mdee kwa Chadema ni zaidi ya ile Yuda Iskarioti alimtendea Yesu Kristo!
naaambritanicca wewe umesikia sauti inakujia.
wapo walioona kwa macho,ni swala la muda tu,itafahamika tu.