Kuna Sauti inanijia kwamba huenda wabunge 19 wa CHADEMA wana baraka za Mwenyekiti kwa makubaliano maalumu kutotoboa siri

Kuna Sauti inanijia kwamba huenda wabunge 19 wa CHADEMA wana baraka za Mwenyekiti kwa makubaliano maalumu kutotoboa siri

Kama kweli chadema hawana mkono na huu uchafuzi wa c19 wawatoe wote.

Tofauti na hapo tutajua wanamkono wao kuwepo bungeni.

#MaendeleoHayanaChama
 
Sawa! Swali je baraka hizi ni kwa maneno au maandishi?
Nikwamaandishi yaliyowapelela bungeni we hujiulizi nani alisaini nyaraka zulizipokelewa na tume kuwapokea wabunge hao? Kama siyo mnyika na mbowe ndiyo wahusika na kama siyo wao wangeshaenda mahakamani muda mrefu kushitaki wamefojiwa
 
Mkuu vichwa vingi unavyodili navyo reasoning ipo very low. Angalia maswali wanayouliza majibu yapo wazi sana. Watu hawajui Ila fukuza ya wabunge ilikuwa zuga. Ndugai alisema alipokea barua toka kwa Mnyika ikiwa imesainiwa, mwenyekiti wa tume ya uchaguzi akadhibitisha. Kama sio kweli mbona Mnyika hajawahi kwenda mahakamani kudai sahihi yake imefojiwa..!???????
Hakika
 
Halafu nyie mna utani sana na maisha ya watu. Yaan mnyika aende mahakaman apoteze ugali wake kirahisi kiasi hicho., We unadhan ataendeshaje familia na kutunza jina hapa mjini
 
Mbona mbowe kaongea hadharani kua alimwita halima Kenya ajitoe na atamtafutia kazi, na halima ajakanusha. Sasa mbowe anahusiakaje Tena.!
 
Back
Top Bottom