zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 20,537
- 31,729
Ila ukifika uchaguzi mnategemea masanduku. Hzi confidence mngekua nazo msingewahi ogopa tume huru wala mikutano ya siasa na maandamanoBongo hakuna upinzani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila ukifika uchaguzi mnategemea masanduku. Hzi confidence mngekua nazo msingewahi ogopa tume huru wala mikutano ya siasa na maandamanoBongo hakuna upinzani
Account hackedDhambi waliyoitenda akina Halima James Mdee kwa Chadema ni zaidi ya ile Yuda Iskarioti alimtendea Yesu Kristo!
Wame disappoint nini? Si waliwatimua uanachama tayari so mlitaka wafanyeje zaidi? Toka rufaa ipite hazijapita siku 90 or so, but mpaka sasa wale sio wanachama wa CHADEMA pending appeal!Nataman itokee siku asiwepo hata mwananchi mmoja atakayejitokeza kwenye mikutano ya chadema tenaaaa ili wajue kuwa wananchi wako dissapointed na upinzani kwa kiwango cha hli ya juu
Baraza kuu ni kubwa kidogo so mobilization inahitaji muda.... Isistoshe bado wapo ndani ya muda wa kusikiliza rufaa haijazidi siku 60-90 toka appeal ipelekwe.Walikata rufaa ndani ya chama muda mrefu sana, kwanini hiyo rufaa mpaka leo haisikilizwi? Mbona mara nyingi kamati/baraza zilikuwa zinakutana kwa dharura na kutoa maamuzi haraka
Watu wanaoingia kwenye siasa kwa maslahi huwa sio kusaka pesa bali POWER, Influence, Popularity na serious connections.Yani unataka ushahidi wa chadema wakichukua ruzuku?
Kwa akili yako tindo unafikiri Mnyika pale alipo anafanya kazi ya ukatibu mkuu bure kwa kujitolea?
Nataman itokee siku asiwepo hata mwananchi mmoja atakayejitokeza kwenye mikutano ya chadema tenaaaa ili wajue kuwa wananchi wako dissapointed na upinzani kwa kiwango cha hli ya juu
Ofcz wengi hisia zetu zinawatilia mashaka wotee..na inakatisha sana tamaaWame disappoint nini? Si waliwatimua uanachama tayari so mlitaka wafanyeje zaidi? Toka rufaa ipite hazijapita siku 90 or so, but mpaka sasa wale sio wanachama wa CHADEMA pending appeal!
Haya ni mawazo finyu ya uchochezi na ndio za kishetaniKuna Kisauti kinanjia Kuhusu Mbowe kubariki Viti Maalumu hapo awali kwa makubaliano ya kuwa siri na kujifanya hana habari.
Hii yaweza kuwa kwa maslahi mapana ya Chama (Ustawi na kutofutika).
Ni mawazo yangu ila tuwaze nje ya Box.
Britannica
Bongo hakuna upinzani...Ila ukifika uchaguzi mnategemea masanduku. Hzi confidence mngekua nazo msingewahi ogopa tume huru wala mikutano ya siasa na maandamano
Bongo hakuna upinzani...
Rejelea uanzishwaji wa siasa za vyma vingi, haikuwa matakwa ya wananchi bali mabeberu...
Hawa wote unaowaona kama wapinzani ni mbuzi wa bwana Kheri na wapo zizini mwa bwana Kheri...
Ninyi ambao mmeamua kushabikia/kupenda/kufurukutwa na siasa za maigizo CCM vs (CUF,CDM, NCCR, ACT) ndio mnaoamini kuna upinzani...
Siasa za Afrika bado ni kivuli kile kile tu cha Mtwa na Mtwana, mwenye kutawala na mtawaliwa kama tu ilivyokuwa nyakati za koo za kichifu/kitemi...
Ni kwel kamanda lakin tukubali tu kwamb kwsas pale nyumban kuna level flan ya transparency and ile sense of accountability ime shuka sana kama siyo kuyeyuka kabisa.Matumain yetu tulio wengi (kama sio tunaojitambua) kwa chama yamegubikwa na hali ya kutowaamin wafanya maamuzi.Kwa cdm haiwezekani, labda ccm maana ndio chama kilichozeeka. Wananchi wanajua na wanaona jinsi Magufuli anavyotumia madaraka yake vibaya kukihujumu. Uzuri ni kuwa Magufuli amaeamua kutumia madaraka yake vibaya dhidi ya cdm, huku wananchi wengi wakiwa wameshaamka,ndio maana analazimisha kuiua cdm, lakini watu bado hawaipendi ccm kwa hiari yao zaidi ya kushurutishwa.
cdm ni wabishi hawataki kuutambua/kuambiwa ukweli. Wanajidanganya chama kinakubalika wakati ukweli ni kwamba mtaani chama hakina mashiko, hakiaminiki na hakina mapya. Wanajiweka "victim" wa awamu ya tano eti failure yao imesababishwa na serikali (typical mawazo ya hovyo ya kimasikini)Ni kwel kamanda lakin tukubali tu kwamb kwsas pale nyumban kuna level flan ya transparency and ile sense of accountability ime shuka sana kama siyo kuyeyuka kabisa.Matumain yetu tulio wengi (kama sio tunaojitambua) kwa chama yamegubikwa na hali ya kutowaamin wafanya maamuzi.
Inakatisha tamaa sana.
Na ile hali ya wacheche kuendelea kukiamin chama haihalalishi haya basi tu ni vile hakuna pa kuhamishia matumain yao.Heri chongo kuliko kengeza
Wewe ni mstaarabu sana...Spika Ndugai ana utaratibu wa kujiridhisha kuhusu masuala ya vikao vya chama, kabla hajachukua maamuzi yanayomhusu Mbunge.
..Nakuomba urejee tukio la Spika wa Bunge kuikataa barua ya KM Chadema kumfukuza Cecil Mwambe kwasababu haikuwa na reference ya kikao halali cha chama.
..Again, anayeteua wabunge wa viti maalum wa Chadema siyo Katibu Mkuu wa chama, bali ni kamati kuu ambayo bado haijakaa kufanyia uamuzi suala hilo.
Mkuu 'Britanicca', kama ni kuzeeka, basi unazeeka vibaya.Kuna Kisauti kinanjia Kuhusu Mbowe kubariki Viti Maalumu hapo awali kwa makubaliano ya kuwa siri na kujifanya hana habari.