Kuna sayari zaidi ya Billioni 100 katika Universe, Je Viumbe hai tupo peke yetu ?

Yaaan nimeelewa kabsa....lakin sijaelewa kabsa....ila nakubalina na maelezo yako.....ila out of curiosity....why all these things?!
 
Naomba taarifa za ziada kuhusu Area 51
Kwa ufupi hii sehemu ni moja kati ya sehemu zenye ulinzi mkali sana. Nitafafanua:
1. Serikali ya Marekani imewaaminisha watu kuwa Hapo kuna base ya US force kwa ajili ya majaribio ya kijeshi upande wa anga.
2. Ni eneo la siri kwa sababu lipo mbali na makazi ya kawaida ya watu (limejitenga).
Ila sasa kuna evidence nyingi sana zinazopingana na taarifa za Marekani kuwa hilo eneo ni just for nornal military operations. Kwamba kuna fununu pamoja na ushuhuda wa kwamba eneo hilo linatunza vyombo vya Aliens hapa Namaanisha UFOs. Pia kuna ushahidi kuwa hata Aliens wapo eneo hili wanafanya exchange of knowledge kwa binadamu wale Genius tu.
Hii ni kwa kifupi ndugu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unaweza ukapitia hapa uelewe zaidi:
Area 51 Location - The Real Story Behind the Myth of Area 51

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asante kwa taarifa hii nyeti.Nitaifanyanyia kazi.
 
Ndio maana hakuna maisha baada ya kifo,huo ndio ukweli mengi tumekaririshwa tu ukifa umekufa ila ukweli ni kwamba dini zililetwa ili kutuweka sw kwa maana ya amani lakini hakuna jpya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Z
Asante kwa taarifa hii nyeti.Nitaifanyanyia kazi.
Ila kwa msaada jaribu kuruhusu fikra pana ndani ya akili yako hata kama kuna sehemu ya taarifa utakayopata ikiwa inasema ukweli juu ya suala hili pia nenda uangalie na zile zinaeleza uongo. Kikubwa ni kupata mawazo mapana ndugu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sayari nyingi sio supportive kwa maisha ya viumbe, nnaowasikia ni alliens na sijui wanatoka sayari gani, wanakula nini, wanakufa au hawafi?
hakuna kitu kama hicho
 
Hatari sana mkuu.... sisi tunaburuzwa ila wenzetu wanaishi
 
Yaaan nimeelewa kabsa....lakin sijaelewa kabsa....ila nakubalina na maelezo yako.....ila out of curiosity....why all these things?!

Sent using Jamii Forums mobile app
Lifecoded Tunaojua mambo tumekuelewa big up.Wasioelewa watapata tabu sana.
Sisi ujanja wetu wote tuko kwenye cartesian x,y,z co-ordinates,cylindrical na polar co-ordinates angalau kwa hizi mbili za mwisho tukagundua angle inaweza husishwa sio space peke yake.
Angalau tumejaribu kuihusisha mhimili wa nne 4D yaani time.Albert Einstein ameeĺeza uhusiano wa time na space kwenye Relativity hata hivyo bado hatujaenda mbali zaidi.
Kwa ufupi sisi binadamu dunia hii tunafikiri na kutenda kwa kutumia 3D hao viumbe wengine wanatumia 10D na siajabu wanakujaga huku na wapo ila uwezo wa GB za bongo zetu ni mdogo hatuwaoni

Sent from my SM-J200F using JamiiForums mobile app
 
Mkuu hapo kwenye 10dimension Nimekuelewa
 
"Ametukuka Mwenyezi Mungu mbora katika waumbaji." Ajabu kubwa hii.Hayo madubwashika yote huko kwa idadi hiyo ya mabilioni,lakini hayapotei njia na kugongana,kila 'dubwashika' linazunguka kwenye njia yake.Ni nani basi huyo aliyefanya utaalamu huu usio wa kawaida kama sio Mwenyezi Mungu Mfalme wa vinavyoonekana na visivyoonekana?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Utambue dunia haina umbo LA tufe pia wanatudanganya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe hizo sayari umefika?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Zamani bara Urope walifikiri wapo pekeao kwa karne mingi waliishi wakiamini hivyo. Mara kina Columbus wanaune wa enzi zao wakafanya discovery of the new word na africa ikatambuliwa now tunaishi kibabe na kutembeleana
Hope tunakoenda huko wanetu watapata mwanga mpana sana kuhusu mfumo wa Anga, watatambuana sayari kwa sayari watahusiana na watakuwa wakichart kwa internate yenye nguvu
 
Zile sayari tisa tulizosoma shule ya msingi na secondary nazo pia ni miongoni mwa hizo Billion 30?

Halafu kwa nini tulifundishwa tu hizo..?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Zile sayari tisa tulizosoma shule ya msingi na secondary nazo pia ni miongoni mwa hizo Billion 30?

Halafu kwa nini tulifundishwa tu hizo..?

Sent using Jamii Forums mobile app
Ninachokijua baada ya kupitia makala mbalimbali ni hiki:
1. Ukiachana na sayari hizi 9 kweli zipo ila wanadai kuwa kuzieleza unahitaji knowledge ya ziada yaani uwe professional sio walimu tu wa juu juu.
2. Zina features za kutofautiana sana na Normal 9 planets mfano, ni distance yake from our galaxy pia hata atmosphere yake.
Thats all

Sent using Infinix hot 4
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…