GE2025 Kuna sehemu (hasa za uswazi) maandamano yakiwepo raia wataibiwa sana

GE2025 Kuna sehemu (hasa za uswazi) maandamano yakiwepo raia wataibiwa sana

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Nakumbuka miaka tisini Yanga ikashinda sasa msululu wa mashabiki wakawa wanatoka uwanja wa uhuru nilikuwa mtaa wa uhuru Kariakoo kwenye ule msululu kulikuwa na vibaka nilishuhudia Duka la mtanzania mwenye asili ya kiasia likisafishwa ndani ya madakika naona yule jamaa alifilisika🥲
 
Panya road hao na hao wanajiita sijui gen zero watandikane safi tu.
Biere mapema tu ntaanza.
 
Raia wakiwa wanapanga namna ya kuandamana , wapi pa kuanzia,

Panya road nao bila shaka watakuwa wamejipanga kuiba kwa kigezo cha maandamano.

Umakini uwepo.
Jana ulisema mange kimambi ataaibika maana hakutakuwa na maandamano tena andiko lako ulilita saa7 usiku umeenda sana. Leo Tena unasema kuna maandamano mkuu?

Mkuu yamebaki masaa tu
 
Acha uongo, uswazi hatuibiani. Tutaibina nini uswazi?

Sema mnaogopa tukifika mutaa ya mbweni, mikicheni, masaki na oysterbay ndiyo tutafaidi.

Kulua kwa zamu ujue.
 
Back
Top Bottom