Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 25,968
- 36,044
Jana ulisema mange kimambi ataaibika maana hakutakuwa na maandamano tena andiko lako ulilita saa7 usiku umeenda sana. Leo Tena unasema kuna maandamano mkuu?Raia wakiwa wanapanga namna ya kuandamana , wapi pa kuanzia,
Panya road nao bila shaka watakuwa wamejipanga kuiba kwa kigezo cha maandamano.
Umakini uwepo.
ChaiRaia wakiwa wanapanga namna ya kuandamana , wapi pa kuanzia,
Panya road nao bila shaka watakuwa wamejipanga kuiba kwa kigezo cha maandamano.
Umakini uwepo.