mwanyaluke
JF-Expert Member
- Jan 22, 2015
- 704
- 2,435
Kuna msemo wanasema ukitaka kuwa maskini kaishi na maskini, nzi wote watakuja nyumbani kwako kwa sababu wewe kwako ndiko vitu vinatupwa, then utajikuta unapata magonjwa na utakufa.
Nimeipita Tanzania kwa asilimia kubwa sasa, ila safari za Tunduru zimenichanganya, nimepata Dili za kupeleka mzigo Tunduru, so nimezielekeza gari huku.
Nyie Kuna sehemu Kuna umaskini mkubwa, maisha yangu nilikuwa naona umaskini upo mikoa ya Kanda ya kati (Dodoma, Singida) Manyara, Lindi na Mtwara, Kigoma ila sasa nimebadili mawazo.
Kinachowaumiza sana watu wa huku uvivu wa wanaume na kuwaachia majukumu wanawake, mwanamke anaamka asubuhi anamwacha mwanaume kalala, battle la mwanamke ni kuhangaikia maji na chakula.
Huku unapiga mke wa mtu na mwenye mke anajua hakutishi, maana majukumu yote kachiwa mama, jamaa hawataki kazi na wakifanya kazi masoko ya bidhaa Yao yapo chini.
Mtu analima ufuta nusu Heka, mihogo kidogo, na korosho miti yake michache kazi kuvaa misuli bila boxer, stori nyingi katazame mazingira anayolala aisee.
Umeshusha mzigo na gari kupata mzigo wa kuutoa huku ni mtihani, dalali anaringa eti mwenye gari ndio umpatie pesa kidogo ili akutafutie mzigo, yaani badala ya yeye kukimbilia gari.
Kwa hiyo uliyempelekea mzigo, unamchaji nauli mara mbili, aisee hii hatari sana na yeye anavizia kwa kuuza vitu kwa bei Kali sana.
Serikali itoe shule kwa jamii hizi, na ukiwa kijana don't dare kuishi sehemu kama hizi hakika utakufa maskini, otherwise ishi hapo Tunduru mjini ila usikubali kuishi kijijini utakufa maskini maana hawa watakuambukiza tabia za uvivu.
At least hapa halmshauri naona Pana watumishi na wajomba zangu wakinga na wao wanalalamika, wanakimbiza biashara ndogo ndogo yaani hamna sababu ya kufunga biashara kubwa huku utazungushaje.
Vijiji vinahitaji reforms kubwa sana, wabadilishwe akili, wabadilishiwe miondombinu labda kutabadilika ila kwa sasa kunatisha.