Kuna sehemu ukiambiwa ishi, kimbia sana utakufa maskini tena mshamba

Tunduru kwa sasa imevamiwa na wasukuma,muda si mrefu itaenda kubadilika ni suala la muda tu.
 
Mila zao hawa watu za kijinga sana , wayao Wana shida sana , hawataki shule , hawataki kazi , wao kucheza bao, draft asubuhi kama saizi wanaume wametandika jamvi, unapita nyumbani kwa mtu kapanda viazi nyuma ya bafu, dah Bado sana
 
Tanzania hakuna mkoa usio na maskini kinachotofautisha kuna mikoa ni maskini zaidi sehemu zake.
 
Huko sio hata kwa kuoa,bora ukaoe kwa akina Ngosha,ukimpa mwanamke shamba au ng'ombe subiri baada ya muda kadhaa utaona matokeo yake,wanajituma sana. Sio unaoa janamke kazi kukaa vibarazani tu kwenye umbea
 
Sahihi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…