Kuna sehemu yenye joto zaidi ya Ifakara Tanzania?

Hapana mkuu Ifakara kuna joto ila la daslam ni kiboko uzuri niko apa Ifakara kuanzia jioni upepo kama wote
 
Maisha yangu yote dar mpaka naondoka sikuwahi kupaka mafuta na bado nilikuwa natoka jasho ukishuka kwenye usafiri shati kama umenyeshewa mvua, hatari sana
 
Tatizo umesahau concept ya humidity ya geography, Dar inaweza kuwa 33 °C na moshi 40°C , ila Dar ni kisanga kwa sababu ya humidity.
Humidity ya Dar haipandishi 'joto' kwa zaidi ya nyuzi 4..ikiwa 33 unafeel kama 34 hadi 37 ila sio zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…