Kuna sehemu yenye joto zaidi ya Ifakara Tanzania?

Kuna sehemu yenye joto zaidi ya Ifakara Tanzania?

Makongorosi, Lupa, Mkwajuni, Saza, matundasi, Kyela, hizo sehemu utafikiri umekaa kwa muuza chips
 
Tusiandikie mate na wino upo
Screenshot_20211117-083001_Weather.jpg
 
Kilolo inasemekana ina maeneo ya aina mbili kiuoto wa asili
Sehemu kubwa ya Wilaya ua Kilolo ni ukanfa wa baridi ispokuw sehemu ndogo tu ni ukanda joto na kame. Ruaha Mbuyuni joto lake siyo la dunia hii.
 
Kuna sehemu inaitwa kyela mbeya huko na ifakara ni sambamba

Sent from my SM-G920F using JamiiForums mobile app
Mkuu nina uzoefu na kyela nime wahi kuishi kwa kipindi kirefu kidogo, Kyela kuna joto ila joto lake ni kama la Daslamu tu sababu halija wahi vuka 32+ ubaya wa joto la kyela ni joto lenye la kuchoma sio kama la Dar ambalo linaambatana na fukoto.
 
Nipo hapa sasa hv nimeingia leo...kuna joto balaa...AC yenyewe inazidiwa
 
Back
Top Bottom