Kinachofanya joto la Dar liwe la kukera ni Humidity ni kubwa sana. (unyevu nyevu kwenye hewa). Hii inafanya watu watoe jasho sana.
Kuna wakati bongo Humidity inafika mpaka 80.. hapo ni mwendo wa jasho tupu. Hapa mwili ukipumua unakutana na maji maji yamejaa tayari kwenye hewa (air), yanashindwa ku evaporate yanabaki kwenye mwili wako , ndio maana watu wanatoa jasho sana
Mfano kwa Leo
Ifakara ni 36 Humidity: 32%
Dar ni 32 Humidity: 56%
Huyu mtu wa Dar atakuwa unconfutable zaidi kuliko huyu mtu wa Ifakara