Kuna sehemu yenye joto zaidi ya Ifakara Tanzania?

Kuna sehemu yenye joto zaidi ya Ifakara Tanzania?

Nilfk mwak huu mwez wa 6 na 9yaan mwez wa joto la kufa mtu na wa 9 huo ndio kbsaaa sikutegemea kama moro itakuw vle
 
Kuna mwezi nilienda ifakara nikajisema sasa huu ukijani wote unafaida gani kama joto ndo hivi....nadhani ifakara itakuwa ni bondeni
Yes ifakara ni bondeni tena bondeni hasa.

Ila ni pazuri sana
 
Hatari!
Screenshot_20211116-191246.jpg
 
karibu korogwe tanga, tunakufa na hizi nyuzi joto 35

Hujaingia jikoni wanakopika chakula cha kuruta wa JKT wewe! Lile joto hata moto wa mwisho wa dunia au kiama halifikii joto la kusongea ugali! Hadi wapishi jasho linadondokea kwenye ugali lakini bado tu wameumana kugeuza ugali hadi uive!
 
Hujaingia jikoni wanakopika chakula cha kuruta wa JKT wewe! Lile joto hata moto wa mwisho wa dunia au kiama halifikii joto la kusongea ugali! Hadi wapishi jasho linadondokea kwenye ugali lakini bado tu wameumana kugeuza ugali hadi uive!
Na ukitoka kule unapata ule ugonjwa wa bawasili (kutokwa na kinyama) si unaujua?
 
Uko sahihi kabisa,kinachotumaliza Dsm ni high Humidity.
Comfortable humidity ni kuanzia 30 to 50%.
Saa Dsm unakuta Humidity inagonga hadi 80% yaani hapo hata kulala huwezi,dizaini mwili kama unanata hivi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Watu wengine wanashindwa kutofautisha kati ya ''actual'' temperature na ''feel like'' temperature. Unapotaka kuzungumzia temperature ya sehemu, kuna factors zinaweza kufanya mtu asikie joto/baridi zaidi. Vitu kama humidity, winds, direct sunshine, vegetation cover etc vinaweza kufanya joto/baridi kuwa kali zaidi. Ukiwa eg Ulaya, siku temperature iko -2 cg na upepo ni mkali, uta-feel baridi zaidi eg -7cg. Na Dar ni hivyo hivyo. temperature inaweza kuwa 35 cg lakini feel like ikawa 40cg kwa sababu nilizotaja.
 
Kuna Sehemu inaitwa MAJI YA CHAI, hii ipo Arusha . Joto lake ni hatari yaani maji yanatiririka kwenye mto huku yanachemka. Unachota maji mtoni unaweka majani na sukari unapata chai. Ndio pakaitwa Maji ya chai yaani ni shida.
Ha ha haaa. Mzee baba hii kamba aisee.
 
Back
Top Bottom