bongo dili
JF-Expert Member
- Feb 13, 2015
- 12,350
- 25,180
Kama mtu kaingilia ndoa ya mtu akazaa na mke wa mtu,ikathibika kwa ushahidi wa mdomo, message,video na picha.
Sheria inasema Nini kuhusu hili.
Je Pana haki ya Mume ikiwemo fidia kwa mgoni.
Kama mgoni amesambaratisha familia kwa maana watoto wanaenda ishi bila malezi ya wazazi wa pande mbili,mme au mke kupotezewa malengo ikiwemo athari za kisaikolojia, nk haki inasimamaje hapa.