Kuna sheria inayohusika na mambo ya ugoni?

Hivi unadhani kusimama mahakamani kudai talaka ni Jambo rahisi? Siku hizi tumekubaliana hatuvunji ndoa.....mwanaume akijifanya bingwa wa michepuko na hahudumii, hatuondoki....tunamtafutia replacement, yakinoga ndo hivo na watoto juu....infwact tutafia ndoani🤣🤣🤣

Ingekuwa kutoa talaka ni rahisi si unaona mwamba kajua mtoto si wake Ila hata hajaanza mchakato wa talaka....isikie tu.

Afu kisimi hakitulii kinatulizwa, si nishakwambia nyege hazitoki Kwa maombi🤣🤣🤣
Uandike mirathi mapema nakuona kungwi siku zako za kuishi zinahesabika 😂😂😂
Labda kitakachokusaidia mkole lasivyo hutoboi
 
Nimecheka balaa🤣🤣🤣 Ila sikucheki wewe🤣🤣🤣 Dunia ina mitihani hii🤣🤣
Huu mtihani sioni kama nitaushinda. Time will tell😀
 
Kwa mujibu wa sheria za Tanzania, kuingiliwa ndoa ni kosa la jinai linaloitwa ugoni na adhabu yake ni kifungo cha miaka mitatu hadi mitano.

Mume anaweza kuchukua hatua za kisheria ikiwa mgoni amesababisha kuvunjika kwa ndoa. Anaweza kufungua kesi ya ugoni dhidi ya mgoni, talaka dhidi ya mke wake, na madai dhidi ya mgoni.

Katika kesi ya ugoni, mume anaweza kuomba fidia kwa gharama za kisheria, matibabu ya kisaikolojia, malezi ya watoto, na athari za kifedha na kijamii.

Sheria za Tanzania zinamlinda mume kutokana na vitendo vya ugoni. Hata hivyo, ni vigumu sana kuthibitisha kuwa tendo la ugoni lilitokea. Ikiwa unakabiliwa na hali hii, ni muhimu kushauriana na wakili.
Tangible evidence
 
Uandike mirathi mapema nakuona kungwi siku zako za kuishi zinahesabika 😂😂😂
Labda kitakachokusaidia mkole lasivyo hutoboi
Uzuri Baba K anajua kavamia mtumbwi wa vibwengo🤣🤣🤣
Nishamwambia akiniheshimu ntamuheshimu....basi Kwa sasa tunaheshimiana🤣🤣🤣

Ila akijipindua anajua mwezi hauishi atakuta nimeolewa, talaka ataileta huko huko kwa mume mwengine🤣🤣🤣🤣
 
Nyie ndio mnaotuponza wazaramo wenzenu tusiolewe 🤣🤣🤣
Wanajua wazaramo sio watulivu kwenye ndoa, muda wowote wanasonga mbele km injili
 
Kwa mujibu wa sheria za Tanzania, kuingiliwa ndoa ni kosa la jinai linaloitwa ugoni na adhabu yake ni kifungo cha miaka mitatu hadi mitano.

Mume anaweza kuchukua hatua za kisheria ikiwa mgoni amesababisha kuvunjika kwa ndoa. Anaweza kufungua kesi ya ugoni dhidi ya mgoni, talaka dhidi ya mke wake, na madai dhidi ya mgoni.

Katika kesi ya ugoni, mume anaweza kuomba fidia kwa gharama za kisheria, matibabu ya kisaikolojia, malezi ya watoto, na athari za kifedha na kijamii.

Sheria za Tanzania zinamlinda mume kutokana na vitendo vya ugoni. Hata hivyo, ni vigumu sana kuthibitisha kuwa tendo la ugoni lilitokea. Ikiwa unakabiliwa na hali hii, ni muhimu kushauriana na wakili.
Naona kama hii ipo!! Basi wanawake inabidi wajae mahakamani!! Maana wanaume kwa vitendo hivi wanaongozaa!!
 
Kwa mujibu wa sheria za Tanzania, kuingiliwa ndoa ni kosa la jinai linaloitwa ugoni na adhabu yake ni kifungo cha miaka mitatu hadi mitano.

Mume anaweza kuchukua hatua za kisheria ikiwa mgoni amesababisha kuvunjika kwa ndoa. Anaweza kufungua kesi ya ugoni dhidi ya mgoni, talaka dhidi ya mke wake, na madai dhidi ya mgoni.

Katika kesi ya ugoni, mume anaweza kuomba fidia kwa gharama za kisheria, matibabu ya kisaikolojia, malezi ya watoto, na athari za kifedha na kijamii.

Sheria za Tanzania zinamlinda mume kutokana na vitendo vya ugoni. Hata hivyo, ni vigumu sana kuthibitisha kuwa tendo la ugoni lilitokea. Ikiwa unakabiliwa na hali hii, ni muhimu kushauriana na wakili.
Mkuu,
Ugoni sio jinai kwa sheria zetu (mainland Tz)
 
Timua mwanamke na huyo mtoto wake,vuta chuma nyingine maisha yaendelee...Wanaume tuna majukumu mengi na makubwa sana ya kimaisha,hamna haja kuhangaika na mwanamke mhuni na uhuni wake.She's for the streets,send her home!
 
Wamatumbi wasumbufu hawaelewi kitu, we subiri waje uone moto utakaowaka hapa 😂😂😂
Ss hivi wanapiga nyeto kwanza
😂😂😂Ila wii
 
Ndoa, we ni nani? Unaumiza watu..
mtaani washakupa jina jingine la tapeli.
mimi siomuhumini wako, ndio mimi sio muhumuni wa ndoa.
ila mbona huku mtaani, kila ugomvi wa watu chanzo ni wewe.

ndoa wewe ni nani hasa?🤔
 
Fidia itampa amani kiasi ya moyo. Video na cctv zinatosha kwenda mahakamani ila aandae fungu la kuanzia mambo yawe na mashiko
Ha

Hapana Pana mpumbavu kazaa na mke wa mtu makusudi akijua ni mke wa mtu Mtoto ana miaka 2.
Ushahidi ni message za mke wa mtu na jamaa.
Mke wa mtu na mama yake jamaa, ushahidi wa mke wa mtu na dada yake jamaa.
Message za ngono mke wa mtu na jamaa,video mke wa mtu na jamaa,miamala ya pesa ya mke wa mtu na jamaa, cctv camera
Mke wa mtu kaenda kumtambulisha mtoto nyumbani kwao jamaa,hali akijua ana ndoa yake ya Kanisa katoliki akiwa anaishi na mume halali wa ndoa mme akienda kazini mke anamleta jamaa Ndani.
 
Back
Top Bottom