bongo dili
JF-Expert Member
- Feb 13, 2015
- 12,350
- 25,180
Kwani mke alibakwa?Kama mtu kaingilia ndoa ya mtu akazaa na mke wa mtu,ikathibika kwa ushahidi wa mdomo, message,video na picha.
Sheria inasema Nini kuhusu hili.
Je Pana haki ya Mume ikiwemo fidia kwa mgoni.
Kama mgoni amesambaratisha familia kwa maana watoto wanaenda ishi bila malezi ya wazazi wa pande mbili,mme au mke kupotezewa malengo ikiwemo athari za kisaikolojia, nk haki inasimamaje hapa.
Kama mtu kaingilia ndoa ya mtu akazaa na mke wa mtu,ikathibika kwa ushahidi wa mdomo, message,video na picha.
Sheria inasema Nini kuhusu hili.
Je Pana haki ya Mume ikiwemo fidia kwa mgoni.
Kama mgoni amesambaratisha familia kwa maana watoto wanaenda ishi bila malezi ya wazazi wa pande mbili,mme au mke kupotezewa malengo ikiwemo athari za kisaikolojia, nk haki inasimamaje hapa.
Sheria ipo mkuu, nishawahi kuona mtu analipa fidia kubwa tu
Kwa mujibu wa sheria za Tanzania, kuingiliwa ndoa ni kosa la jinai linaloitwa ugoni na adhabu yake ni kifungo cha miaka mitatu hadi mitano.kwa wanandoa ikithibitika bila shaka mwanandoa mke au mume amefanya mapenzi nje ya ndoa ni kosa kisheria na anaweza kuhukumiwa kifungo kisichozidi miezi 6 jela!!
Hapana Pana mpumbavu kazaa na mke wa mtu makusudi akijua ni mke wa mtu Mtoto ana miaka 2.umekamatwa?
Ndoa imeshakufa jamaa kazaa na mke wa mtuMambo mengine ni kuachana nayo. Ama uamue uendelee na mkeo wako au uachane naye kaoe mwingine basi. Kati ya hayo mawili jipe muda tafakari kwa kina halafu chagua moja litakalokupa amani ya moyoni. Hiyo habari ya kushtaki halafu unalipwa fidia maana yake sasa umeidhinisha mgoni aendelee kiroho safi si kashakulipa.
That is too much. Hadi anampeleka nyumbani kwake?Ha
Hapana Pana mpumbavu kazaa na mke wa mtu makusudi akijua ni mke wa mtu Mtoto ana miaka 2.
Ushahidi ni message za mke wa mtu na jamaa.
Mke wa mtu na mama yake jamaa, ushahidi wa mke wa mtu na dada yake jamaa.
Message za ngono mke wa mtu na jamaa,video mke wa mtu na jamaa,miamala ya pesa ya mke wa mtu na jamaa, cctv camera
Mke wa mtu kaenda kumtambulisha mtoto nyumbani kwao jamaa,hali akijua ana ndoa yake ya Kanisa katoliki akiwa anaishi na mume halali wa ndoa mme akienda kazini mke anamleta jamaa Ndani.
Mapenzi upofuThat is too much. Hadi anampeleka nyumbani kwake?
Njoo nikuoe babe LamKataa ndoa wanazidi kujikusanyia points dah!!
Nyie mimama mlioko kwenye ndoa em tulizeni vinembee Mtafanya wengine tusiolewe kwa nyege zenu za kuku πππ
Ww wale ukidakwa unaliwa vizuri. Yani unakuwa sehemu ya menuKwani mke alibakwa?
Kama alikubali kwa hiari yake hakuna tatizo
Wake za watu hawana mhuri usoni me nitamtambuaje
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hujaolewa unasubiri nn uduguuu? PoleeeehKataa ndoa wanazidi kujikusanyia points dah!!
Nyie mimama mlioko kwenye ndoa em tulizeni vinembee Mtafanya wengine tusiolewe kwa nyege zenu za kuku [emoji57][emoji57][emoji57]
1 is the best, kwasababu mwanaume anapaswa atambue tu kwamba alioa mke ambae hana upendo kwake, na tafsiri yake nikwamba huyo mwanaume alioa mke wa mwanaume mwingine.Kuna adhabu mbili tuu kwa mgoni
1. Kufukuza mke
2. Kutumia Gunia la mkaa
Hiyo ya mahakamani ni ngeni kwangu
Sijaolewa bado natunza usichana wangu πππ[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hujaolewa unasubiri nn uduguuu? Poleeeeh