Kuna sheria inayohusika na mambo ya ugoni?

Kataa ndoa wanazidi kujikusanyia points dah!!
Nyie mimama mlioko kwenye ndoa em tulizeni vinembee Mtafanya wengine tusiolewe kwa nyege zenu za kuku 😏😏😏
Olewa Kwanza ndo utaelewa🤣🤣🤣 Hizi ndoa acha tu.
We jiulize hadi mke anaenda kutambulisha mtoto, anajirekodi hizo video mume alikuwa wapi?
Ndoa yenye mapenzi mwenzio akibadilika kidogo tu unahisi as nyie ni mwili mmoja....muda wote huo alikuwa wapi? Story iko nusu hii.
 
Hapana kungwi kwa hili nakupinga!!
Ni bora ukakitembeze mpk kiote sugu kuliko kubeba na mimba juu?!! Hii sio fair kabisa
Km mwanaume umemchoka si uondoke wengine waingie!!
Hapo mama mjengo mwenzenu kazingua na kawadhalilisha.
 
Wii tutaolewa kweli? Mitoto ya nje ya ndoa imekuwa mingi na ndio hii Kataa ndoa 🤣🤣🤣
Tutaolewa my wii huku mtaan kataa ndoa sio wakali kama wa jf achana na Hawa na wakitaka watoto tuwaambbie hatuna kizazi Cha majaribio😃😃😃
 
Tutaolewa my wii huku mtaan kataa ndoa sio wakali kama wa jf achana na Hawa na wakitaka watoto tuwaambbie hatuna kizazi Cha majaribio😃😃😃
Mtaani ndio pa uchungu wanataka ukae gheto upike na kupakua bila ndoa 🤣🤣🤣
Ufanye huduma zote za mke na mtoto umzalie etii khaaaa!!! Mi hapana kwakweli wamatumbi ni tatizo
 
Hapana kungwi kwa hili nakupinga!!
Ni bora ukakitembeze mpk kiote sugu kuliko kubeba na mimba juu?!! Hii sio fair kabisa
Km mwanaume umemchoka si uondoke wengine waingie!!
Hapo mama mjengo mwenzenu kazingua na kawadhalilisha.
Labda alitelekezwa, akaamua aendelee na maisha mwingine, Halafu unakuta janamume lenyewe akili kisoda, halafu mchepuko timamu zimemtimia, ndo unachanganya mbegu uzae mtoto bright.....hayajaanza leo hayo.....kilichotudhalilisha ni hiyo teknolojia....hizo CCTV, videos na msg za miamala.
 
Mtaani ndio pa uchungu wanataka ukae gheto upike na kupakua bila ndoa 🤣🤣🤣
Ufanye huduma zote za mke na mtoto umzalie etii khaaaa!!! Mi hapana kwakweli wamatumbi ni tatizo
Kwanini wamatumbi 😂😂😂
 
Nadhani wa kushtakiwa ni huyo mke maana kavunja mkataba na mumewe.

Au alijisahau kwamba yeye ni mke wa mtu?
 
Kataa ndoa, ,[emoji2][emoji2][emoji2]
 
Nadhani wa kushtakiwa ni huyo mke maana kavunja mkataba na mumewe.

Au alijisahau kwamba yeye ni mke wa mtu?
Labda🤣🤣🤣 We hujawahi kukutana na mkaka mrefu mweusi, ananukia hadi ukasahau Kama umeolewa🤣🤣🤣
 
Bado ni mke wa mtu hakutakiwa kufanya hayo.
Km alitelekezwa alichukua hatua gani?
Na kwanini ukubali kuolewa na mume kisoda? Hukumchunguza mpk ukakubali kuingia naye kiapo kanisani/msikitini?
Km ulitaka watoto bright si ungeolewa na hao wenye IQ kubwa?
Mama mijengo tulizeni visimi mtachomwa na gunia za mkaa, mtaacha watoto mayatima.
Km ndoa zimewashinda vunjeni ndo muendelee na mengineyo 😂😂😂
 
Kataa ndoa

Ndoa ni umaskini

Ndoa ni ujambazi

Ndoa ni wizi

Ona unavyotesa watoto

Kwani ungemzalisha bila kumuoa ungekuwa kichaa?

Mmerogwa na Nani?
 
Hivi unadhani kusimama mahakamani kudai talaka ni Jambo rahisi? Siku hizi tumekubaliana hatuvunji ndoa.....mwanaume akijifanya bingwa wa michepuko na hahudumii, hatuondoki....tunamtafutia replacement, yakinoga ndo hivo na watoto juu....infwact tutafia ndoani🤣🤣🤣

Ingekuwa kutoa talaka ni rahisi si unaona mwamba kajua mtoto si wake Ila hata hajaanza mchakato wa talaka....isikie tu.

Afu kisimi hakitulii kinatulizwa, si nishakwambia nyege hazitoki Kwa maombi🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…