Uandike mirathi mapema nakuona kungwi siku zako za kuishi zinahesabika 😂😂😂Hivi unadhani kusimama mahakamani kudai talaka ni Jambo rahisi? Siku hizi tumekubaliana hatuvunji ndoa.....mwanaume akijifanya bingwa wa michepuko na hahudumii, hatuondoki....tunamtafutia replacement, yakinoga ndo hivo na watoto juu....infwact tutafia ndoani🤣🤣🤣
Ingekuwa kutoa talaka ni rahisi si unaona mwamba kajua mtoto si wake Ila hata hajaanza mchakato wa talaka....isikie tu.
Afu kisimi hakitulii kinatulizwa, si nishakwambia nyege hazitoki Kwa maombi🤣🤣🤣
Huu mtihani sioni kama nitaushinda. Time will tell😀Nimecheka balaa🤣🤣🤣 Ila sikucheki wewe🤣🤣🤣 Dunia ina mitihani hii🤣🤣
Tangible evidenceKwa mujibu wa sheria za Tanzania, kuingiliwa ndoa ni kosa la jinai linaloitwa ugoni na adhabu yake ni kifungo cha miaka mitatu hadi mitano.
Mume anaweza kuchukua hatua za kisheria ikiwa mgoni amesababisha kuvunjika kwa ndoa. Anaweza kufungua kesi ya ugoni dhidi ya mgoni, talaka dhidi ya mke wake, na madai dhidi ya mgoni.
Katika kesi ya ugoni, mume anaweza kuomba fidia kwa gharama za kisheria, matibabu ya kisaikolojia, malezi ya watoto, na athari za kifedha na kijamii.
Sheria za Tanzania zinamlinda mume kutokana na vitendo vya ugoni. Hata hivyo, ni vigumu sana kuthibitisha kuwa tendo la ugoni lilitokea. Ikiwa unakabiliwa na hali hii, ni muhimu kushauriana na wakili.
Uzuri Baba K anajua kavamia mtumbwi wa vibwengo🤣🤣🤣Uandike mirathi mapema nakuona kungwi siku zako za kuishi zinahesabika 😂😂😂
Labda kitakachokusaidia mkole lasivyo hutoboi
Utaushinda, niamini.Huu mtihani sioni kama nitaushinda. Time will tell😀
Akili imegoma kushinda majaribu...mwili ndo kabisa.Utaushinda, niamini.
Nyie ndio mnaotuponza wazaramo wenzenu tusiolewe 🤣🤣🤣Uzuri Baba K anajua kavamia mtumbwi wa vibwengo🤣🤣🤣
Nishamwambia akiniheshimu ntamuheshimu....basi Kwa sasa tunaheshimiana🤣🤣🤣
Ila akijipindua anajua mwezi hauishi atakuta nimeolewa, talaka ataileta huko huko kwa mume mwengine🤣🤣🤣🤣
Naona kama hii ipo!! Basi wanawake inabidi wajae mahakamani!! Maana wanaume kwa vitendo hivi wanaongozaa!!Kwa mujibu wa sheria za Tanzania, kuingiliwa ndoa ni kosa la jinai linaloitwa ugoni na adhabu yake ni kifungo cha miaka mitatu hadi mitano.
Mume anaweza kuchukua hatua za kisheria ikiwa mgoni amesababisha kuvunjika kwa ndoa. Anaweza kufungua kesi ya ugoni dhidi ya mgoni, talaka dhidi ya mke wake, na madai dhidi ya mgoni.
Katika kesi ya ugoni, mume anaweza kuomba fidia kwa gharama za kisheria, matibabu ya kisaikolojia, malezi ya watoto, na athari za kifedha na kijamii.
Sheria za Tanzania zinamlinda mume kutokana na vitendo vya ugoni. Hata hivyo, ni vigumu sana kuthibitisha kuwa tendo la ugoni lilitokea. Ikiwa unakabiliwa na hali hii, ni muhimu kushauriana na wakili.
Wewe ni mgeni hapa jamii forum?Gunia la mkaa????? Hii imekaaje
Mkuu,Kwa mujibu wa sheria za Tanzania, kuingiliwa ndoa ni kosa la jinai linaloitwa ugoni na adhabu yake ni kifungo cha miaka mitatu hadi mitano.
Mume anaweza kuchukua hatua za kisheria ikiwa mgoni amesababisha kuvunjika kwa ndoa. Anaweza kufungua kesi ya ugoni dhidi ya mgoni, talaka dhidi ya mke wake, na madai dhidi ya mgoni.
Katika kesi ya ugoni, mume anaweza kuomba fidia kwa gharama za kisheria, matibabu ya kisaikolojia, malezi ya watoto, na athari za kifedha na kijamii.
Sheria za Tanzania zinamlinda mume kutokana na vitendo vya ugoni. Hata hivyo, ni vigumu sana kuthibitisha kuwa tendo la ugoni lilitokea. Ikiwa unakabiliwa na hali hii, ni muhimu kushauriana na wakili.
Janga la jamiiBasi washtakiwe wote, wakimaliza kifungo waoane waishi pamoja.
😂😂😂Ila wiiWamatumbi wasumbufu hawaelewi kitu, we subiri waje uone moto utakaowaka hapa 😂😂😂
Ss hivi wanapiga nyeto kwanza
Ha
Hapana Pana mpumbavu kazaa na mke wa mtu makusudi akijua ni mke wa mtu Mtoto ana miaka 2.
Ushahidi ni message za mke wa mtu na jamaa.
Mke wa mtu na mama yake jamaa, ushahidi wa mke wa mtu na dada yake jamaa.
Message za ngono mke wa mtu na jamaa,video mke wa mtu na jamaa,miamala ya pesa ya mke wa mtu na jamaa, cctv camera
Mke wa mtu kaenda kumtambulisha mtoto nyumbani kwao jamaa,hali akijua ana ndoa yake ya Kanisa katoliki akiwa anaishi na mume halali wa ndoa mme akienda kazini mke anamleta jamaa Ndani.