Kuna sheria yoyote ya Tanzania inayozuia kutamka hadharani kuwa unamchukia Rais wa nchi?

Awamu ya kwanza watu wali enjoy saana!Enzi za Moro jazz,Juwata,DDC mlimani Park,Tuncut Almas n.k.Watu walikuwa wanagoma kula shule wanabembelezwa,wanafunzi wa sekondari na vyuo walipewa nauli ya kuja na kurudi shule,wanavyuo walipewa na posho ya kujikimu,Chuo kikuu bure,kazi unachagua ufanye ipi,Kuna watu walimkosoa sana including mwalimu wangu darasani alikosoa sana sera za Nyerere na darasa letu tulikuwa tukisoma na watoto wa maafisa wa polisi,brigedia wa jeshi,na maafisa wakubwa kabisa mkoani mf.RDD siku hizi nadhani ndo RAS,lakini hakupotezwa bado aliheshimiwa sana!
Enzi hizi ni mambo ya Jesuitism, hata hakuna anayeelewa..ni kumeza pini tu.
 
Enzi za utawala wa makaburu Mandela aligoma hadi kula,makaburu walituma watu kumsihi ale!Sasa leo mtu ajidai anagoma kula..cha moto atakiona maana hata akifa kwa njaa gerezani no one cares as long as amejitakia mwenyewe.
 
Tunazungumzia Sheria ya kumuweka Mtu ndani bila ya kumfikisha Mahakamani imetungwa wakati wa Nyerere Hata Magufuli hajajulikana
Nyerere hajakuwahi kuitumia hii sheria kumkomoa raia wake kwa chuki tuu.. alikuwa anajua nguvu aliopewa na katiba..
 
Nyerere hajakuwahi kuitumia hii sheria kumkomoa raia wake kwa chuki tuu.. alikuwa anajua nguvu aliopewa na katiba..

Pumbavu weweeeee!

Kuna Mtu aliekuwa na Mkono wa Chuma Nchi Hii Kama Nyerere?
 
Yaani watu wana mawazo ya kijinga mnoo. Umchukie kwani anakula kwako?
 
Naomba nijuzwe,

Je, kuna sheria yoyote inayonikataza kutamka hadharani kuwa namchukia rais wa nchi mfano Rais Magufuli?

Maana sitaki nivunje sheria mimi ni mtiifu kwa Katiba.

Naomba majibu wakuu nina haraka kidogo
Kupenda n.a. kuchukia ni hiari . N.a. hakuna lazima ya kumpenda yeyote! Wala sheria haipo.

Ni "hela" tu inayopendwa bila shuruti wala sheria!

Anayetaka kulazimisha kupendwa atakufa kwa kusononeka buree!
 
Watu walipotezwa na uhuru wa kuongea haukuwepo usijifanye umesahau.
 
Vitendo huanza na fikra.

By the way hata mimi namchukia huyo mzee wanzuki
 
Aquilina atakua kakuchuna sana weww.[emoji16][emoji16][emoji16]
 
kama kumpenda si kosa..hata kumchukia pia sio kosa.
kiukweli huyu jamaa damu zetu haziendani tangu alipo kuwa waziri Wa ujenzi.
alipowaambia watu Wa kigamboni wapige mbizi kama hawana 200.
tangu pale mpaka nakufa.
Kikwete na mkapa ndio walioleta hilo dude linalokunywa damu kila kukicha.
 
Enzi za utawala wa makaburu Mandela aligoma hadi kula,makaburu walituma watu kumsihi ale!Sasa leo mtu ajidai anagoma kula..cha moto atakiona maana hata akifa kwa njaa gerezani no one cares as long as amejitakia mwenyewe.
Unamaanisha serikali ya fisiemu ina roho mbaya kuzidi serikali ya makaburu.?
 
Chimba shimo alafu uinamie useme namchukia magufuri then upande mti kwenye hilo shimo kila upepo ukija utakua unasikia sauti kutoka kwenye mti ukisema namchukia magufuri!
 
Atakama sheria haipo ila wakikusikia wataifanya iwepo tu mana safari hii tumepata Mungu mtu hakosei
 
Pumbavu weweeeee!

Kuna Mtu aliekuwa na Mkono wa Chuma Nchi Hii Kama Nyerere?

Afadhali mpumbavu kuliko mtu mwenye kichwa kikubwa kama wewe lakini una ubongo wa ndege, tena yule ndege mdogo aitwae tongwa..
Nyerere alikuwa na madaraka makubwa, na kwa mujibu wa katiba ile angeweza kuwa dikteta mbaya kuliko hata huyu wa sasa.. Lakini ulishawahi kusikia mpinzani wake yeyote kisiasa akipigwa risasi..? Ulishasikia akiipendelea wilaya yake ya Butiama kwa kujenga kiwanja kikubwa cha ndege..? Unakumbuka kwanini Rais Mwinyi alijiuzulu uwaziri wa mambo ya ndani enzi za Nyerere..? Pamoja na mkono wa chuma unaodai bt at least kulikuwa na kuwajibika pale ambapo maonevu yalifanyika..
Tatizo lako wewe na wenzio wenye ubongo wa ndege tongwa kama wewe, mnaongozwa na njaa.. Lakini subiri, muda si mrefu mtatuelewa..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…