Kuna Shida Africa Kusini

Kuna Shida Africa Kusini

leo nmewaona vijana kibao wameshuka toka sauzi sijui ndo kimenuka huko
 
Xenophobic violence against foreign nationals in South Africa has worsened. South Africa witnessed widespread xenophobic attacks since 1994 in provinces such as Gauteng, Western Cape, Free State, Limpopo and KwaZulu Natal. There has been this and much speculation of the causes and triggers of the violence. A number of reports have highlighted various issues contributing to xenophobia; some of which include poor service delivery and competition for resources. The type of leadership within communities might have an impact on whether or not xenophobic attacks occur in certain communities, which talks to issues of governance. The issue is not only about foreign nationals and their rights, but about the safety of all who live in South Africa. Most incidents of violent attacks have been carried out by black South Africans.
Kila country ina challenges zake,that doest make them less humane ama more bad,hata kenya last 2 mnths ilibaki tu kidogo xenophobia i happen,tulikuwa tushaanza #somalis watoke kenya,na kusema ukweli hio # one of this days itarudi tena and i support it 100% somalis wote huku warudi kwao hawatashinda hapa wakitusumbua na kuringa na wako nchi yetu,hata afadhali Tz,rwandans na Congos wenye wako kenya,n btw south africa walikuwa na beef na somalis na Nigerians not all africans,same tu na kenya hatupendi Somalis na nigerians kwetu
 
Wana roho mbaya kama wakenya aisee

Sent using Jamii Forums mobile app
Acha zako wewe watz wanaishi Kenya kwa amani zaidi ya kule S.Afrika. Tembea usiwe unangoja kuhadithiwa. Pale soko kubwa kabisa la nguo A.M. Gikomba, Nairobi huwa ni full kichagga kutoka che hadi machweo. Tena watz waliungana na wanabiashara wenzao wakenya wakaandamana mara kibao hadi wakafanikisha mradi ambao unaendelea sasa hivi, wa kujengewa soko jipya la kisasa.
 
Kuwa serious mkuu. Hii ni zaidi ya hatari! Kwani kubaka ndio hobby yao?
Angalia hii na usome kwa mda wako
Screenshot_20190330-190312_Chrome.jpeg

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
 
Tanzanians like to brag how they helped SA get rid of apertheid..Lol i guess its pay back time, indeed black south Africans are paying back in kind,i mean look at what they are doing to their fellow africans(including tanzanians),looting their shops,burning them alive,raping them,subjecting them to mob beating etc etc,welcome to SA where Tanzanians don't require a visa to visit lol,you see,Tanzanians have this deluded mentality that kenyans are rude,heartless,evil etc..so they like to associate with SADC particularly SA claiming they helped liberate them from yoke of colonialism,well,look what they are doing to their fellow africans including tanzanians...look,SA is another world out there and they don't give a damn whether you did shit for them in their dark days..whatever you tanzanians think of kenya,just know SA is ten times worse,as a matter of fact SA is just an exaggerated version of kenya,so next time before you Tanzanians start yapping that crap that 'afrika kusini ni ma ndugu wetu wa dhati' remember to hold a moment of silence for your fallen brothers and sisters murdered in cold blood by your zulu counsins,SA hakuna undugu na ujamaa,wale ni manyan'gau kupindukia...the world capital of rape,femicide,crime,drug trafficking,xenophobia,racism,name it...sasa la kutisha ni, nyie wa Tz huwa mnasema eti nyie ni maskini kwa sababu mlitumia muda wenyu mkisaidia wengine kupambana na beberu haswa SA ,sasa oneni dunia ilivyo,hivi ndivyo dunia ilivyo.Lol,nyerere must be turning in his grave.
 
Kila country ina challenges zake,that doest make them less humane ama more bad,hata kenya last 2 mnths ilibaki tu kidogo xenophobia i happen,tulikuwa tushaanza #somalis watoke kenya,na kusema ukweli hio # one of this days itarudi tena and i support it 100% somalis wote huku warudi kwao hawatashinda hapa wakitusumbua na kuringa na wako nchi yetu,hata afadhali Tz,rwandans na Congos wenye wako kenya,n btw south africa walikuwa na beef na somalis na Nigerians not all africans,same tu na kenya hatupendi Somalis na nigerians kwetu
Wee latimore to be honest ni moja ya wakenya ambao wapo real sana na unafatilia mambo kwa usahihi.... Ungekua wa kike walahii tungeyajenga hahaha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Oooh hii inaweza kuthibitisha ile kauli ya makaburu eeeh?

"Waafrika wanadai Uhuru,lakini hata wakipewa Uhuru hawawezi kujiongoza wenyewe.Kimsingi,wanapaswa waongozwe na mwingine asiye Mwafrika...Wape bunduki,na watauana wao kwa wao"
 
Wataalamu wasiojulikana wanasema hapo ni karma Inafanya kazi
 
Wee latimore to be honest ni moja ya wakenya ambao wapo real sana na unafatilia mambo kwa usahihi.... Ungekua wa kike walahii tungeyajenga hahaha

Sent using Jamii Forums mobile app
Haha ni poa kuwa real ka hupendi mtu hupendi,na a real kenyan atakuambia the same thing hatutaki wasomali na nigerians huku kwetu,but that doesnt mean ati hatupendi waafrika ni venye hawa wasee wawili wametusumbua sana nataka tu watoke kwetu warudi kwao afadhali waafrika wengine wenye wako kenya but not somalis na nigerians,warwanda,wakongo,Ugandans na watanzania wengi sana wako kenya lakini hakuna mkenya mwenye akili timamu ana beef nao,waendelee tu kukaa kenya juu pia sisi tukienda kwao wanatupenda,unlike somalis
 
Hata wasuduu wamejaa githu na Zimmerman. Warudi kwao wakajenge nchi yao. Wakenya wanadhulumiwa sana huko Sudan but they live peacefully in Kenya
 
Back
Top Bottom