Kuna shida gani kuweka battery kubwa kwenye gari ndogo?

Kuna shida gani kuweka battery kubwa kwenye gari ndogo?

Mmh....uku kila mtu anasema lake hizi elimu za gereji izi zita tuuwa
 
HAPANA mkuu N ya kwenye battery za gari,solar and co. Haimaanishi product size in terms of dimension ila ina maanisha size in terms of voltage currents. Elewa hivyo na usiwe mbishi kwa hilo.

Ndio maana unaweza kukuta battery ndogo hizi N7 na N12 zina fanana kwa umbo.
Nikiri nimejifunza kitu
 
Back
Top Bottom