Kuna shida gani kwenye magereza nchini Ecuador?

Latvia

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2019
Posts
629
Reaction score
4,512
Kwa wale wajuzi em share unachofahamu kuhusu magereza ya nchini Ecuador, maana kila mara ni mapigano na vifo. Na hii sio mara ya kwanza kutokea machafuko ndani ya magereza yao.

How comes a well protected prison wafungwa wanakuwa na silaha tena za moto?
 
Crime syndicates mkuu au cartels. Yani mara nyingi wafungwa wanakuwa ni members wa magenge mbali mbali ya kihalifu ambayo wana hela na influence hivyo wanaweza kuhonga askari na kuingiza chochote ndani.

Yani mfano unaweza kukuta boss wa cartel anafungwa jela lakini ana run business zake za nje ya jela akiwa kifungoni na mambo yanaenda.

Hebu kawasome watu kama Mara Salvatrucha, M13 n.k
 
Mexico waliona mbali sana kuwapeleka Marekani wakashitakiwe na kufungwa huko wale 'drug cartel kingpins' mfano El Chapo.

Wangebaki kwenye jela za Mexico wangeleta balaa kubwa zaidi kuanzia jela mpaka Uraiani.

Ila jela za US ndio kiboko yao ...wakishapelekwa huko ndio basi tena.
 
Mexico waliona mbali sana kuwapeleka Marekani wakashitakiwe na kufungwa huko wale 'drug cartel kingpins' mfano El Chapo.

Wangebaki kwenye jela za Mexico wangeleta balaa kubwa zaidi kuanzia jela mpaka Uraiani.

Ila jela za US ndio kiboko yao, wakishapelekwa huko ndio basi tena.
Hawakuona mbali Wala nin, Mara ya kwanza walikataa lakin baada ya el Chapo kutoroka, walivyomkamata Tena ikawabidi wampeleke marekani bila kupenda
 
Hizo gereza ukiingiamo mchovu utaliwa tako kutwa mara 12

Yaani utagongwa mpaka uchakae ukitoka unakuwa ni mtu wa kujinepisha na kulegeza jicho kama James Delicious
Ukiingia huko inabidi utafute genge lolote uwe mwanachama, kubaki peke yako bila kundi ni hatari kwako.
 
Hawakuona mbali Wala nin, Mara ya kwanza walikataa lakin baada ya el Chapo kutoroka, walivyomkamata Tena ikawabidi wampeleke marekani bila kupenda
Marekani kweli ni taifa kubwa na lenye nguvu. Ukifikiria ndio soko kubwa la kuuza hayo madawa ya kulevya ila cha ajabu haina ghasia za hayo makundi kama mataifa mengine kwenye hilo eneo.
 
Mexico waliona mbali sana kuwapeleka Marekani wakashitakiwe na kufungwa huko wale 'drug cartel kingpins' mfano El Chapo.

Wangebaki kwenye jela za Mexico wangeleta balaa kubwa zaidi kuanzia jela mpaka Uraiani.

Ila jela za US ndio kiboko yao, wakishapelekwa huko ndio basi tena.
Sio mexico waliona mbali bali usa walilazimisha hili
 
Hizo gereza ukiingiamo mchovu utaliwa tako kutwa mara 12

Yaani utagongwa mpaka uchakae ukitoka unakuwa ni mtu wa kujinepisha na kulegeza jicho kama James Delicious
Hahahahahah hatari sana
 
Back
Top Bottom