Benno Bongo
JF-Expert Member
- Jun 10, 2017
- 620
- 704
Aisee kama wewe ni mtumishi wa kada ya afya inabidi uchunguzweUmmmh ushikwe mkono na hawa?...wadai hadi buku 2 kwenye lisit...wakati umecheza na damu zake kibao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisee kama wewe ni mtumishi wa kada ya afya inabidi uchunguzweUmmmh ushikwe mkono na hawa?...wadai hadi buku 2 kwenye lisit...wakati umecheza na damu zake kibao
ccm oyee, sijui kama nje ya mada, au ndio sababu ya usugu wa majanga kama haya. Doctor anafanya upasuaji huku akifikiria ugumu wa maishaDuuu
Pole kaka yangu wa katumba songwe... Maombi muhimu kabla ya hizi opUmenikumbusha miaka 12 iliyopita pale kairuki hospital nilimpoteza Hilda my wife kwa uzembe wa Drs baada ya operation [emoji22] [emoji24] [emoji80] [emoji22]
kwa hiyo hii ndio inafanya doctors washindwe kwenye operation kiasi cha kusababisha vifo!!Inasikitisha sana, pamoja na uzembe wa ma Dakitari ila mtindo wa maisha unachangia pia. Sisi Mama zetu walienda shambani wakowa na mimba ya miezi minane tena unakuta analima, anachota maji etc, ukifika wakati wa kujifungua mtoto anafyatuka! Ila wa kisasa kidogo tu hawezi kusukuma, anapelekwa operation. Nadhani kuna umuhimu wa elimu ya mimba kutolewa kwa wazazi vijana
Likely kuna tatizo mahali.Inaumiza sana ndugu zangu.
Watu wa 3 ninaowafahamu, wengine wa 3 ni watu wa karibu wa marafiki zangu..
Katika miezi 4 wamepoteza maisha Wote kwa operation ya uzazi, achilia mbali wale ninaosikia mtu pembeni akiongea.
Inauma Sana ndugu zangu,
Mnampeleka mpendwa wenu hospital akiwa mzimaa mpate malaika, mnaambulia Miili miwili isiyotikisikaa... Mbaya zaidi uone kuna hali ya uzembe ilifanyika.
Isikie tuu hii kwa mtu ndugu yangu..
Hiki ni nini? Au ni coincidence tuu kwa bahati mbaya imetokea zaidi kwa watu ninaowafahamu?
Hivi hua hospital wana keep Data? If yes Are they real? Data zinasemaje? Zinafanyiwa kazi? Maana sidhani kama ni kawaida..
Kwa Moyo wa dhati NIIOMBE Serikali kupitia wizara ya Afya Fuatilieni hili Zaidi, kuna uzembe,
Mmoja kati ya hao Pamba ilisahaulika Tumboni Dodoma hapo, mwingine naye mistake katika kutenganisha Kitovu, Mwingine naye kuna sehemu ilikawa vibaya...
Haya ni makosa ya kibinadamu..
Hatuna chance ya makosa ya kibinadamu katika Afya ya mtu jamani..
Wahusika Niwaombe ndugu zetu, nyie ni professional, mmekula viapo, Mnalipwa, Jitoeni katika kazi zenu, Fanya Ukijua uhai wa viumbe hao upo mikononi mwako,
Kueni makini na Afya za Mama zetu, Dada zetu na wote kwa ujumla, mmeaminiwa sanaa..
Itokee kwa mipango ya Mungu ila sio kwa uzembe..
Serikali nawaomba Sana viongozi wangu, Chukueni hili katika positive way ya kuokoa mama na mtoto..
Siandiki hapa kama Niliyepoteza Mke au Ndugu, naandika kama binadamu niliyeumia SANAA kuona ndugu zetu hawa Wanatutoka katika picha kama hizo...
Nawaomba Tena Chukueni hili katiaka Positive way,
Mpo hapo kuokoa jamii kubwa nyuma yenu, Jivunie Kuo mmoja wa waliokoa mamia ya mama zetu na taifa la kesho, Siku Moja utalipwa, this is real sio siasa.
Ni suala la kitaalamu, litatuliwe kitaalamu.
Rai kwa Mama na dada zangu, Mnaopokua wajawazito, Punguzeni Utandawazi, epukeni Uzazi wa operation usio wa lazima kwa kisingizio hutaki uchungu, Jipe mazoezi.
Poleni Sana Wote mlitokwa na Wapendwa Wenu katika picha kama hii..
AMEN.
Sekta nyingi sana mambo yako hovyo!tangu jiwe asepe uozo umeongezeka wa kutisha
Inabidi kila kifo namna hiyo serikali ichunguze na itagunduwa madhaifu yako wapi.Inaumiza sana ndugu zangu.

Wewe usifananishe kila kitu na marehemu.tangu jiwe asepe uozo umeongezeka wa kutisha
Hakuna madaktari siku hizi!Inaumiza sana ndugu zangu.

Dr Aron Chiduo alikuwa waziri wa afya na alikuwa anatibu kuonyesha mfanoKwa.muj8bu wa habari zilizopo, sasa hivi vimepunguwa.
Vifaa vimesambazwa mahospitalini pia mafunzo ya mara kwa mara kwa madaktari na wauguzi yanaendelea.
in shaa Allah vitaendelea kupatiwa ufumbuzi.
Hilo siyo tatizo.Dr Aron Chiduo alikuwa waziri wa afya na alikuwa anatibu kuonyesha mfano
Waziri wa afya Sasa amesomea maendeleo ya jamii unatarajia nini
Tatizo ni nchi kuongoza na Ke na kuruhusu Ke kufa wengiHilo siyo tatizo.
Hilo siyo tatizo. Pitia takwimu.Tatizo ni nchi kuongoza na Ke na kuruhusu Ke kufa wengi
Elimu elimu elimu elimuBongo cha uhakika ni kofia na shati za ccm mengine yote ni mtihani. Hakuna eneo tunaweza kutembea kifua mbele..nasema hakuna!