Kuna shida Gani kwenye Operation za Uzazi? Hivi vifo ni mimi tu naona?

kwa hiyo hii ndio inafanya doctors washindwe kwenye operation kiasi cha kusababisha vifo!!
Kuna kitu hapa chawa wa mama unakichawia; siri kali ya fudenge chini ya chama kinachoongozwa na fudenge wanachawia sehemu kiasi cha kuleta majanga haya.
Ahsante kwa kujitambulisha chawa wa kuchawia hoja.
 
Likely kuna tatizo mahali.

Kisayansi kujifungua kwa upasuaji mkubwa alias C-Section inaelezwa kua ndio njia salama zaidi na ya uhakika...taking aside few complications.

Sasa ikitokea inakua tena sio salama vifo vinajitokeza lazima wataalamu watuambie shida iko wapi?

Ni vifaa, vifaa tiba, utaalamu duni, ucheleweshaji au nini hasa...haya yote ni ya kitaalamu na hayahitaji watabiri wa kuupiga mwingi.
 
Inabidi kila kifo namna hiyo serikali ichunguze na itagunduwa madhaifu yako wapi.
 
tangu jiwe asepe uozo umeongezeka wa kutisha
Wewe usifananishe kila kitu na marehemu.

Unakuwa Kama kipofu aliyeona punda.


Majanga ya madeni ya kijinga aliyotuingiza yule bwana saa hizi pesa tunazolipia nadeni yake ya kijinga zingesaidia sehemu kubwa sana ya Watanzania.

Tukubali tu, alikuwa na nazuri yake machache na alikuwa na makosa yake mengi tu.
 
Kwa.muj8bu wa habari zilizopo, sasa hivi vimepunguwa.
Vifaa vimesambazwa mahospitalini pia mafunzo ya mara kwa mara kwa madaktari na wauguzi yanaendelea.

in shaa Allah vitaendelea kupatiwa ufumbuzi.
.ifik7e wakati ikiwa tatizo ni la daktari au watowa huduma wachukuliwe hatua.
 
Hakuna madaktari siku hizi!
Kila WAKATI ni kugoogle hawatumii akili Yao hata kidogo
 
Kwa.muj8bu wa habari zilizopo, sasa hivi vimepunguwa.

Vifaa vimesambazwa mahospitalini pia mafunzo ya mara kwa mara kwa madaktari na wauguzi yanaendelea.

in shaa Allah vitaendelea kupatiwa ufumbuzi.
Dr Aron Chiduo alikuwa waziri wa afya na alikuwa anatibu kuonyesha mfano
Waziri wa afya Sasa amesomea maendeleo ya jamii unatarajia nini
 
Tatizo ni nchi kuongoza na Ke na kuruhusu Ke kufa wengi
Hilo siyo tatizo. Pitia takwimu.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…