Kuna shida Gani kwenye Operation za Uzazi? Hivi vifo ni mimi tu naona?

Kumbe kusomea udaktari hadi wazazi wawe vizuri kifedha?

Hii nimeisikia kwako mkuu maana huwa naona madaktari wengi wametoka familia za chini.
 
wee huko kidogo mama yangu mdogo alale yooo, eti professional doctor [emoji38] akasahau kushona ngozi ya ndani sijui ila nakumbuka aliteseka sana almost a year.
Kwanini hampeleki kesi mahakamani? Hizo ni kesi za kushinda mapema kabisa ingawaje ndiyo umeshapoteza mpendwa wako.

Lakini angalau madaktari wakianza kushtakiwa kwa kusababisha kifo kwa uzembe watakuwa makini.
 
Kiwete mungu afanye yake tusahau habari zake
 
Wewe si ulikua unamshabikia mpumbavu mkubwa wewe
 

It has been a trend...

Wanawake wengi kizazi cha sasa hawataki ku-push kabisa, wanakimbilia mkasi...
 
Tatzo usimamiz wa kitaaluma na professional zinaingiliwa.san kitaaluma

Hakuna maendeleo bila msingi wa Taaluma(Elimu ) sambamba na usimamiz wa maadili ni Jambo baya siasa kuendesha kila kitu

Baada ya miaka 7/10. Baadae kwa nchi maskn tutaendelea kuona mambo ya ajabu kbsa
 
Kwani ma intern ndo wameingia kazini?

Ulipata ripoti ya uchunguzi wa kifo?

Vifo vilitokea wakati gani . .kabla/wakati /baada?

Serikali imeweka sheria kali sana hasa kinapotokea kifo cha uzazi .

Weka mawasiliano au majina ya vituo husika kwa ufwatiliaji.
 

Tumeharibu sana elimu yetu kwa sababu za kisiasa
 
Hapo umedakia tuu .. ila ukitafakari point yake ameongelea kuzorota kwa uwajibikaji wa serikali/watumishi wa uma.
 
Hawa wa sasa hawafaulu wanapitishwa tu kila mtu awe na cheti.
 
Kwanini hampeleki kesi mahakamani? Hizo ni kesi za kushinda mapema kabisa ingawaje ndiyo umeshapoteza mpendwa wako.

Lakini angalau madaktari wakianza kushtakiwa kwa kusababisha kifo kwa uzembe watakuwa makini.
alitaka kuwashtaki naona hosp waliongea nae akaacha lakini ni kweli wa tanzania tunakosa hela kizembe hapo angekomaa nao angepata hela ndefu tatizo ukifika kwa mwanasheria anakwambia kufile kesi ni milioni tatu sasa ni watu wangapi wana hiyo pesa.
 
Meter hospital Mbeya ni hatari
Hapo mimi huwa siendi kichwakichwa. Wife akibeba mimba tu namkabidhi Doctor France mapema anamhudumia mpaka siku ya kujifungua.

Internship Doctors ni balaa walishakosea kumchoma sindano ya usingizi ndugu yangu walizidisha wakati wa choma chomoa hakubaki salama tulizika
 
Wizara ya Afya Tanzania Njooni mtupe majibu akina mama. Wanaangamia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…