Mkuu usibisbe 2009 nilikua form 3 na nilinunua ream 5000Miaka gani ream ilikuwa 5000, ? Toka 2010 niliponunua ream mara ya kwanza kwa sh 9000/- sijawah pata popote ream chin ya hio bei
Kweli kbsa mim mwaka 2013 nilikuwa nanunua Kwa 12000 Hadi 11000Miaka gani ream ilikuwa 5000, ? Toka 2010 niliponunua ream mara ya kwanza kwa sh 9000/- sijawah pata popote ream chin ya hio bei
[emoji16][emoji16][emoji16]nchi ambayo wanazima umeme mpaka 24 hrs kwa siku halafu unauliza kwa nini bei za bidhaa ziko juu?
Kuna kiwanda kinatengengeneza Rim hapa bongo?Wadau salaam.
Serikali ijaribu kutupa jicho huko kwenye viwanda hivi.
Karatasi zinatumika sana mashuleni na hasa mwanzo wa mwaka.Wanafunzi wanaagiziwa kupeleka karatasi shuleni kwa ajili ya kuchapisha mitihani yao.
Miaka ya nyuma kidogo bei ya ream ilikuwa tsh 3500 hadi 5000,lkn ghafla unashangaa bei imepanda zaidi ya asilimia mia moja. Kulikoni.
Kuna shida gani huko kwenye viwanda..!!!?
Wadau hebu saidieni hii bei inaweza ruka tena hadi 25,000/=
Hizi ni ream za karatasi 500 kwa bando moja ambazo zinatumika sana mashuleni.
Wapi huko ream inauzwa 15000/=, maana mwaka wa 3 huu ream 22000Wadau salaam.
Serikali ijaribu kutupa jicho huko kwenye viwanda hivi.
Karatasi zinatumika sana mashuleni na hasa mwanzo wa mwaka.Wanafunzi wanaagiziwa kupeleka karatasi shuleni kwa ajili ya kuchapisha mitihani yao.
Miaka ya nyuma kidogo bei ya ream ilikuwa tsh 3500 hadi 5000,lkn ghafla unashangaa bei imepanda zaidi ya asilimia mia moja. Kulikoni.
Kuna shida gani huko kwenye viwanda..!!!?
Wadau hebu saidieni hii bei inaweza ruka tena hadi 25,000/=
Hizi ni ream za karatasi 500 kwa bando moja ambazo zinatumika sana mashuleni.
Uko wapi tuongeeNauza ream paper tsh 8000 kuanzia pic 50 ukitaka nitafute.
Sio kweli Nenda iringa na njombe afu uje ufute huu upuuzi wakoMiti ya karatas imepungua