Kuna shida gani kwenye viwanda vya karatasi, bei ya ream iko juu sana, tsh 15,000/=

Kuna shida gani kwenye viwanda vya karatasi, bei ya ream iko juu sana, tsh 15,000/=

Kuna hii kitu wamiliki wa mashule washaona ulaji ss tena wanasisitiza lazima kununua shuleni na si vingnevyo ..Ream ya 12 inauzwa 20,000 file la 2000 linauzwa elf 4500 daftrI la 2000 linauzw 3500 wamekuwa na ujizi flan hivi usiombe mwanao apoteze kitabu bei inakatibia ada ya robo muhula
Wazazi mnaibiwa sana kwa kuendekeza majina makubw ya shule.
 
Kumbe rimu zina majina? Mtoto kaambiwa apeleke rimu inaitwa Double A. Tofauti ni nini alafu hiyo rimu bei juu kuliko zingine. Tunaomba elimu hapa mtusaidie.

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
 
Concerp of demand and supply tu hapo. January demand ya ream ni kubwa Kwa sababu ya shule zimefunguliwa so nilitegemea ungekuwa mjanja tokea Nov au Dec ungeweka stock kubwa stoo ukisubiria opportunity ya january
 
Miaka ya nyuma kidogo bei ya ream ilikuwa tsh 3500 hadi 5000,lkn ghafla unashangaa bei imepanda zaidi ya asilimia mia moja. Kulikoni.
Miaka ya nyuma kidogo bati futi kumi gauge 30 liliuzwa sh 8000,cement mfuko mmoja uliuzwa sh 5000,sukari iliuzwa sh 1500 per kg,mafuta ya petrol yaliuzwa sh 1800 kwa lita,mbona hushangai,unakuja kushangaa vitu ambavyo matumizi yakeni nadra sana kwa jamii
 
Mkuu usibisbe 2009 nilikua form 3 na nilinunua ream 5000
2012 Niko form 6 bado nilikua nanunua ream 5000
Labda kiwandani,
2012 ream zilikuwa 10-11,
Labda kama ulinunua zile za dona sio A4
 
Back
Top Bottom