Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,380
- 68,484
Majira ya kiangazi, Man Utd waliingia sokoni na kushusha silaha nzito pale mbele.
Sesko, Mbeumo na Cunha waliwasili Old Trafford kuongeza nguvu kwenye idara ya ushambulizi.
Baada ya mechi mbili tu, mwanga unaonekana mbaya. Hakuna mabadiliko kama ilivyokuwa matarajio ya wengi. Msimu mpya, maumivu ni yaleyale kama ya msimu uliopita.
Tatizo ni nini, Amorim au wachezaji?