Kuna shida gani Man Utd, licha ya usajili mzito bado wapo kama msimu uliopita?

Labda kuna mizimu inwasumbua........ Waje Afrika wakutane na wataalamu🤓😆
Hii ni kweli, kuna kafala wanatakiwa watoe, waje TZ tutawapatia timu ya ufundi iwaongoze kwa mtaalam vinginevyo wanashuka daraja
 
Majira ya kiangazi, Man Utd waliingia sokoni na kushusha silaha nzito pale mbele.

Sesko, Mbeumo na Cunha waliwasili Old Trafford kuongeza nguvu kwenye idara ya ushambulizi.

Baada ya mechi mbili tu, mwanga unaonekana mbaya. Hakuna mabadiliko kama ilivyokuwa matarajio ya wengi. Msimu mpya, maumivu ni yaleyale kama ya msimu uliopita.

Tatizo ni nini, Amorim au wachezaji?
Kuna mabadiliko chanya makubwa Tu. Ikiwemo pasi za haraka na kukaba kitimu. Muunganiko Imara utajiset wenyewe kadiri ya muda. Sina Shaka!
 
Manyumbu yanatakiwa yafukuze wachezaji wote waanze na full squad hadi bench wachazaj wapya baada ya Muda kama miaka 2 watakua tishio jambo ambalo pia hakiwezekani kwahyo maumivu yataendelea milele na milele

Tuseme amina
Kwa kocha huyo, sidhani kama anaweza kufanya vizuri, hata amlete nani! Hyo style ya uchezaji wake usiobadilika, ilishashindikana!
 
Ya kwetu ni macho Tu. Bado tuna muda, tutaona kila kitu msimu huu, let's wait. Uzuri wenzetu wako na subira.
 
Screenshot_20250827-183046_YouTube.jpg
 
Majira ya kiangazi, Man Utd waliingia sokoni na kushusha silaha nzito pale mbele.

Sesko, Mbeumo na Cunha waliwasili Old Trafford kuongeza nguvu kwenye idara ya ushambulizi.

Baada ya mechi mbili tu, mwanga unaonekana mbaya. Hakuna mabadiliko kama ilivyokuwa matarajio ya wengi. Msimu mpya, maumivu ni yaleyale kama ya msimu uliopita.

Tatizo ni nini, Amorim au wachezaji?
Unategemea wachezaji wa3 wabadili uchezaji wa timu?
 
Majira ya kiangazi, Man Utd waliingia sokoni na kushusha silaha nzito pale mbele.

Sesko, Mbeumo na Cunha waliwasili Old Trafford kuongeza nguvu kwenye idara ya ushambulizi.

Baada ya mechi mbili tu, mwanga unaonekana mbaya. Hakuna mabadiliko kama ilivyokuwa matarajio ya wengi. Msimu mpya, maumivu ni yaleyale kama ya msimu uliopita.

Tatizo ni nini, Amorim au wachezaji?
Mfu hasemwi vibaya.....kwa kawaida lawama zinaenda kwa dokta(kocha)wauguzi (wachezaji)na ndugu (viongozi)Tukubali tu Man U ishakata roho, twendeni tukazike.
 
Majira ya kiangazi, Man Utd waliingia sokoni na kushusha silaha nzito pale mbele.

Sesko, Mbeumo na Cunha waliwasili Old Trafford kuongeza nguvu kwenye idara ya ushambulizi.

Baada ya mechi mbili tu, mwanga unaonekana mbaya. Hakuna mabadiliko kama ilivyokuwa matarajio ya wengi. Msimu mpya, maumivu ni yaleyale kama ya msimu uliopita.

Tatizo ni nini, Amorim au wachezaji?
Tatizo alikuwa Amorim
 
Back
Top Bottom