Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,380
- 68,484
🤣🤣Man UTD ishakua kichwa Cha mwendawazimuVumilieni, mtaanza kuona matunda ya usajili baada ya game la kumi 😎
Kafanyaje bro?Kocha mpumbavu sana
Kocha mle hamna.Majira ya kiangazi, Man Utd waliingia sokoni na kushusha silaha nzito pale mbele.
Sesko, Mbeumo na Cunha waliwasili Old Trafford kuongeza nguvu kwenye idara ya ushambulizi.
Baada ya mechi mbili tu, mwanga unaonekana mbaya. Hakuna mabadiliko kama ilivyokuwa matarajio ya wengi. Msimu mpya, maumivu ni yaleyale kama ya msimu uliopita.
Tatizo ni nini, Amorim au wachezaji?
Libish sana hilo.Kafanyaje bro?
unaposema squad mbovu siyo kweli nduguLibish sana hilo.
Squad mbovu
Selection mkuuunaposema squad mbovu siyo kweli ndugu
Majira ya kiangazi, Man Utd waliingia sokoni na kushusha silaha nzito pale mbele.
Sesko, Mbeumo na Cunha waliwasili Old Trafford kuongeza nguvu kwenye idara ya ushambulizi.
Baada ya mechi mbili tu, mwanga unaonekana mbaya. Hakuna mabadiliko kama ilivyokuwa matarajio ya wengi. Msimu mpya, maumivu ni yaleyale kama ya msimu uliopita.
Tatizo ni nini, Amorim au wachezaji?
Yaani ile kitu inaitwa TOTAL OVERHAULManyumbu yanatakiwa yafukuze wachezaji wote waanze na full squad hadi bench wachazaj wapya baada ya Muda kama miaka 2 watakua tishio jambo ambalo pia hakiwezekani kwahyo maumivu yataendelea milele na milele
Tuseme amina