Kuna shida Gani na Ukweli?

Wa kawaida siwezi aseeh.. maana lengo kujenga kibanda na hapo ndipo utajua love sio tu sex na love sio pesa. Pesa ni pesa na love ni love
Kwan mzee mpka sa hv umejenga vbanda vingap vya style hyo
 
Wa kawaida siwezi aseeh.. maana lengo kujenga kibanda na hapo ndipo utajua love sio tu sex na love sio pesa. Pesa ni pesa na love ni love
bamdogo hapa kidogo umeniacha njia panda au sijui nilivyoelewa ndio hivyo hivyo
kwahiyo bamdogo ww n mtu wa kununua tu
 
Ni vitu viko wazi na vinafanyika,gegedo itatoka na hela itatoka kinachogomba ni wakati tu,ndo maana havina bei wala risiti na VAT au EFD sijui.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…