kivyako
JF-Expert Member
- Feb 2, 2012
- 14,340
- 12,055
We si mmoja wao?ngoja waje
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We si mmoja wao?ngoja waje
na ww uelezee pia kwa upande wako unakubaliana na kipi kuombwa hela au anayekuja kwa kujibebishaHa ha ha ha
Wa kawaida siwezi aseeh.. maana lengo kujenga kibanda na hapo ndipo utajua love sio tu sex na love sio pesa. Pesa ni pesa na love ni loveHa ha ha ha achana na wale wajasiriamali mzee tunazungumzia wale wa kawaida
Watagundua kwamba haya mambo tumepewa bure , wacha tutoe bureNahis wataona wamekuwa cheap Labour
Au ndio usinkubar haraka
Mamdogo kwani ulishasikia mimi nahonga wapi tena mbona unanipa vitengosawa bamdogo mfafanulie mzee mwenzio mambo ya kuombwa hela na kujibebisha najua we mtu wa kuhonga kitengo chako hiko
hahaha bamdogo sio nakupa vitengo nakusomaga sana kuhusu mambo ya kuhudumia sema sasa hivi utakua umetulia mamdogo mkubwa mkubwa si anakupa yy bamdogo usinifukuze bas si unajua vile nakupendaMamdogo kwani ulishasikia mimi nahonga wapi tena mbona unanipa vitengo
mm mbona ningeshafunguka bonny sema havinihusu kabisa au labda niwaongelee kiduchuHa ha ha mie ntafunga mada mwishon
Ngoja tukusikie.kwanza
bamdogo hapa kidogo umeniacha njia panda au sijui nilivyoelewa ndio hivyo hivyoWa kawaida siwezi aseeh.. maana lengo kujenga kibanda na hapo ndipo utajua love sio tu sex na love sio pesa. Pesa ni pesa na love ni love
Haha..vingine huwa vinapelekwa na upepo vingine mafuriko mzeeKwan mzee mpka sa hv umejenga vbanda vingap vya style hyo
ndio lkn havinihusu mm ni sister yaan mtawaWe si mmoja wao?
Haha... ntakuchapaa wew shika adabu yakohahaha bamdogo sio nakupa vitengo nakusomaga sana kuhusu mambo ya kuhudumia sema sasa hivi utakua umetulia mamdogo mkubwa mkubwa si anakupa yy bamdogo usinifukuze bas si unajua vile nakupenda
hivi bonny nimeongea kisambaa au kiswahili jamanMbona ya kuombwa mgegedo hutak kuzungumzia
Haujanielewa namaanisha kwa swali la bonny ndiyo ajue mapenzi ni mapenzi na vinginevyo ni vinginevyo.bamdogo hapa kidogo umeniacha njia panda au sijui nilivyoelewa ndio hivyo hivyo
kwahiyo bamdogo ww n mtu wa kununua tu