Kuna shida Gani na Ukweli?

Kuna shida Gani na Ukweli?

Hayo ndio maneno embu toa hyo ya kiduchu
unajua sisi tulivyo ukimwambia mtu moja kwa moja kuhusu sex anajua tu umemtamani kwa nn utangulize sex kwanza kwa nn msizoeane kwanza hata kama baadae lengo lako linakua ni tendo

mapenzi bwana mzoeane kwanza hayo ya sex yaje baadae kama kweli ulikua na nia nae nzuri ila kama ndio ulimtamani baba inakula kwako ktk wanawake 10 utapata mmoja

au uende club ukaokote wa night stand
 
Ila mbona sasa kuna uwezekano wa kuja kukutongoza and muda huo huo nikala mzigo
 
Babu eb tuambie na ww kwa upande wako kuhusu swala la pesa
Pesa kama pesa imekuwa ngumu kupatikana kwakuwa serikali imeamua kuhamishia fedha zake benki kuu... hii inasababisha mabenki ya kibiashara yasote kwakuwa pesa inakuwa haiko kwenye mzunguko.

Nadhani titakuwa timeeleana...

Kuna swali jingine?? Fanya haraka maana muda wa kwenda kumlenga bibi yenu umekaribia.
 
Back
Top Bottom