nicholasmari
JF-Expert Member
- Dec 28, 2024
- 630
- 583
kweli akili huna.Vita ya kagera tulifaidika na nini..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kweli akili huna.Vita ya kagera tulifaidika na nini..
Leo tunajenga reli ya SGR kwa dhumuni ifike Mashariki mwa Congo. Swali ni Je hiyo reli itakuwa na faida kama Mashariki mwa Congo kukiendelea kuwa vitani namna hii?
Tuache suala la reli. Hivi Je Viongozi wetu hawajui tunaweza faidika kiuchumi endapo leo hii tukiwasaidia wazi Congo kwenye vita yao shidi ya M23?
Marekani, Uingereza na Ujerumani wanatoa msaada mkubwa kwa Ukraine kupambana na Urusi. Msaada ule sio msaada kama msaada ni mkopo ambao Ukraine watazilipa nchi zile kwa miaka mingi ijayo!
Tuseme Viongozi wetu hawa hawaoni kuwa tunaweza kutoa msaada wa kijeshi kwa Congo sisi kama Tanzania ( Sio chini ya mwamvuli wa SADC au AU au EAC) na tukautumia kama mkopo kwa nchi ya Congo ambapo baadae watatulipa hata kwa karne nzima na tulafaidika kiuchumi?
Hivi nchi hii kuna Think Tanks? Ni kina nani hao Think Tanks? Wana Mchango gani positively kwa maendeleo ya Taifa?
Unataka tufe njaa?? Tukamuliwe Kodi mpaka tubaki mbavu 2. Yanayoendelea Kongo sisi hatuna ubavu wa kuyatuliza. Unaweza kuhisi unapigana na M23 kumbe unapigana na mabepari wakubwa.
Uko sahihi! Jeshi linatakiwa litumike kwa faida za kiuchumi yale mambo ya kukaa kusubiri vita ni upotevu wa hela! Pasipo kupigania fursa hatuwez tobacco! Kenya kapeleka polisi haitiWatu wanavyoona marekani anaenda kupigana Iraq na Afghanistan huko wanadhani anapenda vita kumbe kuna faida za kiuchumi?
Wanakula hela za marekani kuwanunulia ARV na kuwajengea vyoo wanafikiri zinapatikana na kodi tu za Wamarekani.
How comes tunashindwa kumsaidia Congo kwa kufikiria kufaidika kiuchumi?
Mmeshindwa ku maximaze soko la ndani ndo mtegemee kutajirika Congo? Hiyo akili au matope?
Hao Congo wamekwambia wapo tayari kujenga SGR au mtawajengea?
Yani sahizi nchi ianze kuzingatia Congo wakati kuna miradi kibao yenye potential kubwa, less risky bila kuhitaji association na mtu yeyote yule. Umevuta bangi ya wapi? Matter of fact, nchi za hovyo kama Congo na S. Sudan hazikupaswa kuwa hata in the EA community just yet. Hazina hata hela ya kulipa fees zao.
Itakua hujui historia ya Congo kama unadhani M23 ndo tatizo pekee la Congo.
Hata wewe ni think tank sio kila kitu serikali ifanye. Kama unaona Congo kuna faida nenda wewe, hizo nchi ulizotaja serikali ni mratibu tu watendaji ni private sector ndo maana inaitwa capitalism.
Gharama ya vita unaijua lakini? Heri hiyo reli iishie Kigoma watafuata mizigo huku kwanza itawafikia mapema tofauti na sasa. Vita itafanya tuchukue sides na ukimsaidia Congo ina maana Rwanda unampoteza na sioni sababu ya sisi kujiingiza huko mradi tuna Rwanda, Burundi na Uganda hao Congo wamalize tofauti zao.Leo tunajenga reli ya SGR kwa dhumuni ifike Mashariki mwa Congo. Swali ni Je hiyo reli itakuwa na faida kama Mashariki mwa Congo kukiendelea kuwa vitani namna hii?
Tuache suala la reli. Hivi Je Viongozi wetu hawajui tunaweza faidika kiuchumi endapo leo hii tukiwasaidia wazi Congo kwenye vita yao dhidi ya M23?
Marekani, Uingereza na Ujerumani wanatoa msaada mkubwa kwa Ukraine kupambana na Urusi. Msaada ule sio msaada kama msaada ni mkopo ambao Ukraine watazilipa nchi zile kwa miaka mingi ijayo!
Tuseme Viongozi wetu hawa hawaoni kuwa tunaweza kutoa msaada wa kijeshi kwa Congo sisi kama Tanzania ( Sio chini ya mwamvuli wa SADC au AU au EAC) na tukautumia kama mkopo kwa nchi ya Congo ambapo baadae watatulipa hata kwa karne nzima na tukafaidika kiuchumi?
Hivi nchi hii kuna Think Tanks? Ni kina nani hao Think Tanks? Wana Mchango gani positively kwa maendeleo ya Taifa?
Kila nchi inabid ikae pembeni. Huu mgogoro ni wa Congo wenyewe kwa wenyewe. Ndo maana M23 wanaitwa rebels. M23 ni raia wa Congo DRC wanaoipinga serikali ya Tshekedi yenye makao makuu yake mgharibi ya nchi Kinshasa, sasa mnataka Tanzania au Rwanda waingilie huo mgogoro kwa manufaa ya nani??? M23 ni wacongo wanaongea kinyarwanda. Haya yote yana mzizi kwenye mipaka ya wakoloni. Hiyo vita au mgogoro wa mashariki ya DRC haina uhusiano wowote na Tanzania au Rwanda, utamalizwa na wacongoman wenyewe wenye nchi yao ya DRC
Ni vyema tuwasuluhishe wana Afrika Mashariki wenzetu !mbona Rwanda inafaidika na hiyo vita alafu sisi mnatuambia huwezi kwakua ni masikini? 2013 tuliipiga m23 kwa utajiri upi tuliokawa nao?. tatizo Letu ni waoga sana
Umemaliza !🙏Vita vya Congo ni gorriller war. Uwezi kumaliza kwa kupeleka jeshi bali kwa meza ya Mazungumzo..... maana Congo pia wanasupport waasi kihutu kupindua serekali ya RPF . Ndio maana Kikwete alimshauri kagame ukweli , akanunua...kukomesh ni meza ya Mazungumzo kati ya Rwanda na waasi wa kihutu, na Congo na m23.
Tuwasuluhishe wana Afrika Mashariki wenzetu !Tulikuwa hoi kwa sera mfu za Nyerere sio sababu ya vita
Drc ambaye ni mwanachama wa EAC imevamiwa na nchi jirani ambayo pia ni mwanachama wa EAC.Leo tunajenga reli ya SGR kwa dhumuni ifike Mashariki mwa Congo. Swali ni Je hiyo reli itakuwa na faida kama Mashariki mwa Congo kukiendelea kuwa vitani namna hii?
Tuache suala la reli. Hivi Je Viongozi wetu hawajui tunaweza faidika kiuchumi endapo leo hii tukiwasaidia wazi Congo kwenye vita yao dhidi ya M23?
Marekani, Uingereza na Ujerumani wanatoa msaada mkubwa kwa Ukraine kupambana na Urusi. Msaada ule sio msaada kama msaada ni mkopo ambao Ukraine watazilipa nchi zile kwa miaka mingi ijayo!
Tuseme Viongozi wetu hawa hawaoni kuwa tunaweza kutoa msaada wa kijeshi kwa Congo sisi kama Tanzania ( Sio chini ya mwamvuli wa SADC au AU au EAC) na tukautumia kama mkopo kwa nchi ya Congo ambapo baadae watatulipa hata kwa karne nzima na tukafaidika kiuchumi?
Hivi nchi hii kuna Think Tanks? Ni kina nani hao Think Tanks? Wana Mchango gani positively kwa maendeleo ya Taifa?
Ukichukua into consideration ya mipaka ya wakoloni, M23 Banyamulenge ni wacongo wanafall kwenye mipaka ya DRC. Kwa mantiki hiyo huo mgogoro ni purely wa DRC mataifa mwngine yote yakae pembeni umalizwe na wenyewe kwa wenyewe au waombe masaada AU, SADC, UN kama walivyokuwa wakifanya awali. Sion mantiki ya mtoa mada kuomba Tanzania tuingilie kati au Kenya au Uganda maana huo mgogoro hauwahusu. Ni sawa sawa kusema twende Mali kukabiliana na waasi wa huko au Sierra Lion au nchi yoyote ile ambayo ina migogoro nje ya mipaka ya Tanzania..unapozungumzia mipaka ya wakoloni unatutisha Watanzania.
..Waafrika tulikubaliana tutaiheshimu mipaka ya iliyoachwa na wakoloni ili nchi za Kiafrika ziishi kwa amani bila vita.
..Nchi za Kiafrika zikianza kuchora mipaka yake upya bara zima linaweza kuingia katika migogoro isiyokuwa na mwisho.
Kwanini sasa Drc wasitumie vizuri hizo pesa walizonazo kulijenga vizuri jeshi lake Ili liweze kuilinda nchi yao ?Nani kakwambia Congo haina Pesa?
Congo wanaajiri hadi mercenaries kutoka Urusi kwa pesa zao za madini ndo washindwe kununua izo silaha kwa maelekezo ya Jeshi letu?