Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 15,819
- 33,255
- Thread starter
- #41
Ni ujinga tu unafanyika.Vita ya m23 na serikali ya congo ni ya kimkakati. Unaweza ambiwa leo kuwa, waasi wa m23 wamesalimisha silaha na makumi ya waasi wamejisalimisha,lakini kesho ukaambiwa tena goma na kivu yote zipo mikono mwa waasi wa m23.
Tunaweza ingia makubaliano tukaikomboa ile Goma na Kivu na tukaweka military Base pale.
Tunaweza kuwa nchi ya kwanza ya Afrika kuwa na military Base nje ya mipaka yake alafu tukafanya uchumi.