Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,170
- 6,757
Kama kuna waziri anayepwaa katika uongozi basi ni Dk Kalemani. Maana hana maono ya uongozi.
Kiongozi mwenye busara utasambaza taa za mitaani huku wananchi hawana uhakika wa kupata maji?
Yapata wiki sasa maji hayatoki mambombani, yakitoka yanatoka usiku kidogo tu. Kama mbunge kwa nini hautatui hii kero?
Unadhani taa za sola zikiwekwa mitaaani zitawasaidia wananchi?