Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,170
- 6,757
Yeah Chato.Chattel Kweli
Hivi huko chato ndiyo sehemu gani ya Tanzania?Kama kuna waziri anayepwaa katika uongozi basi ni Dk Kalemani. Maana hana maono ya uongozi.
Kiongozi mwenye busara utasambaza taa za mitaani huku wananchi hawana uhakika wa kupata maji?
Yapata wiki sasa maji hayatoki mambombani, yakitoka yanatoka usiku kidogo tu. Kama mbunge kwa nini hautatui hii kero?
Unadhani taa za sola zikiwekwa mitaaani zitawasaidia wananchi?
Ndiyo wapi huko?Yeah Chato.
Alikozaliwa KayafaHivi huko chato ndiyo sehemu gani ya Tanzania?
Watanzania tulio wengi hatupajui kabisa hukoAlikozaliwa Kayafa
Acha dharau we pimbi.Hivi huko chato ndiyo sehemu gani ya Tanzania?
We makonde mla panya achana na habari za watanzania.Watanzania tulio wengi hatupajui kabisa huko
Hapajulikani kabisaAcha dharau we pimbi.
Lilipo kaburi maarufu,ukitaka kwenda kutalii unakaribishwaHivi huko chato ndiyo sehemu gani ya Tanzania?
Nani anapajua huko chato?We makonde mla panya achana na habari za watanzania.
Ni upande gani wa nchi yetu tukufu Tanzania?Lilipo kaburi maarufu,ukitaka kwenda kutalii unakaribishwa
Wewe jamaa huwa na u....Ni upande gani wa nchi yetu tukufu Tanzania?
Sina uhakika chato ipo sehemu ganiWewe jamaa huwa na u....