Kuna shida kubwa ya maji Chato. Waziri Kalemani hajali kitu, anachojali ni kusambaza taa za mitaani

uyu si ndio yule waziri alietuma watu kutoa cctv
 
Chato wana taa za barabarani, uwanja wa ndege wa kimataifa na mahoteli ya kitalii lakini hawana maji?! Viongozi wa huko mbona hamuifanyii wilaya yenu haki?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…