Kuna shida Kwa wadada WA Guesthouse na lodge

UNATAKA nilale lodge za Bei gani isiyo RAHISI ?, Bei RAHISI kwako ni ipi

To be honest Mimi sio tajiri lodge na guest nazo lala hazizidi 30k ikizidi hapo nalala KWENYE gari

It depend na location

NDO MAANA
 
Piga kavu ndo utajua kama wakoje, hakuna rangi utaacha kuona bwashee. 😊
Kwahiyo si unatumia kondom tatu Kwa mpigo, ili ya juu ikitoboka unabaki safe au unasemaje Mzee wa legacy
 
Eti Hawa wadada ukiwaangalia usoni ni kama wamevimba macho LAKINI pia wengi Huwa wamejaa miwili YAKO shida KUBWA ni kama hawako sawa kisaikolojia YAANI ni kama wameathiriwa Kwa namna flani .

Je wewe ukiwa safari unaona wadada waguest WAKO sawa?
Wanatumika sana ndio tatizo
 
Nakupinga
Muda wa kutumika wanatoa wapi ?Muda wote wapo pale reception kupokea wateja !!!!
Sawa Pinga kwani dhambi kupinga hahah
Keep chench, zinagharamiwa sana. Na Kodi juu unatozwa . Yani unalipia mpaka muda wake unaoenda kumtumia ...fear sana hizo chata manzee
 
Eti Hawa wadada ukiwaangalia usoni ni kama wamevimba macho LAKINI pia wengi Huwa wamejaa miwili YAKO shida KUBWA ni kama hawako sawa kisaikolojia YAANI ni kama wameathiriwa Kwa namna flani .

Je wewe ukiwa safari unaona wadada waguest WAKO sawa?
Wewe unasumbuliwa na tatizo la kisaikolojia linaloitwa confirmation bias. Confirmation bias hutokea pale mtu unapokuwa ''umelisha'' ubongo wako na theory fulani eg ''watu wafupi ni wakorofi''. Hili la kulisha ubongo na nadharia potofu hutokea kwa muda mrefu na pengine tangu ukiwa mdogo kwa kusikia watu wakisema hilo jambo. Baada ya hiyo theory kuingia kwenye sub-concious mind yako, kila unapoona eg mtu mfupi anagombana, ubongo wako una-record. Lakini unapoona watu warefu wakigombana, ubongo wako una-ignore. Matokeo yanakuwa kwamba unakuwa na ''upendeleo'' wa kuona na kukumbuka matukio ya watu wa aina fulani tu. Hii ni very complex na si rahisi wewe ugundue. NB: zipo nyumba nyingi za wageni zinahudumiwa na wanaume mbona umechagua wahudumu wanawake tu?
 
Sawa Pinga kwani dhambi kupinga hahah
Keep chench, zinagharamiwa sana. Na Kodi juu unatozwa . Yani unalipia mpaka muda wake unaoenda kumtumia ...fear sana hizo chata manzee
Kwa guest na lodge za bei rahisi kulipia unaweza ila izi 5 star hotels ni ngumu
 
Wewe unasumbuliwa na tatizo la kisaikolojia linaloitwa confirmation bias. Confirmation bias hutokea pale mtu unapokuwa ''umelisha'' ubongo wako na theory fulani eg ''watu wafupi ni wakorofi''. Hili la kulisha ubongo na nadharia potofu hutokea kwa muda mrefu na pengine tangu ukiwa mdogo kwa kusikia watu wakisema hilo jambo. Baada ya hiyo theory kuingia kwenye sub-concious mind yako, kila unapoona eg mtu mfupi anagombana, ubongo wako una-record. Lakini unapoona watu warefu wakigombana, ubongo wako una-ignore. Matokeo yanakuwa kwamba unakuwa na ''upendeleo'' wa kuona na kukumbuka matukio ya watu wa aina fulani tu. Hii ni very complex na si rahisi wewe ugundue. NB: zipo nyumba nyingi za wageni zinahudumiwa na wanaume mbona umechagua wahudumu wanawake tu?
SABABU sijawahi kutana na za wanaume na nitazikwepa nikijua hilo.

Vipi wewe ni mfupi
 
Ktumia huo mfano wa ''watu wafupi'' ni katika kufikisha ujumbe tu. Pengine wewe umeshaona kama najihami? Ukitaka kujua huko sahihi tafuta mtu akufanyie research isiyo rasmi lakini isiwe biased. Aende nyumba za wageni kama 50 katika maeneo na mikoa tofauti achunguze wahudumu wake wakoje. Utashangaa kwa majibu utakayopata... Nina uhakika kabisa huko sahihi kwa observation yako..
 
Mkuu nyumba 50 ni chache Mimi natembea na kulala zaidi 10 time lodge Kwa mwezi mzima.

UNAWEZA nambia sample ya 50 toka mwezi WA kwanza MPAKA sasa nimelala lodge 21 mikoani tofauti so sihitaji sample ukiacha MWAKA Jana lodge kujiridi ipo inanipa experience.

Mahali ambapo nimeona wahifumu Wana nyuso zimenyooka ni hotel TU.
 
Ndiyo maana nikasema inatakiwa independent part kujua ukweli. Binadamu tunakuwa affected na mambo mengi kwenye akili zetu bila kujua i.e. inawezekana kabisa tatizo liko kwako lakini hujui
 
Back
Top Bottom