- Thread starter
- #41
Sawa dokta macho mdikoNdiyo maana nikasema inatakiwa independent part kujua ukweli. Binadamu tunakuwa affected na mambo mengi kwenye akili zetu bila kujua i.e. inawezekana kabisa tatizo liko kwako lakini hujui

Okei, huwezi semea sehem za Siri za watuKwa guest na lodge za bei rahisi kulipia unaweza ila izi 5 star hotels ni ngumu