Zanzibar ni nchi na haijawahi kupoteza identity yake 😂😂Hata kama watu hawanaga akili, siyo kwa level hii ya Tanzania na Zanzibar kuonekana ni nchi mbili tofauti wakati tunajua ni nchi moja.
Tanzania ni kitu ganiZanzibar ni nchi na haijawahi kupoteza identity yake 😂😂
Mimi nachukia wazenji uku wanamilik aridh kwao hawatakiZanzibar ni parasite country hakuna muungano hapo
Tanzania ni yale mambo 6 ambayo Tanganyika iliomba kushirikiana na ZanzibarTanzania ni kitu gani
Nilichogundua wanatupelekesha sana kunapokuwa na #1 ni raia wa Zenji.Zanzibar ni nchi na haijawahi kupoteza identity yake 😂😂
Kuacha harakati za uhuru, mengine yote aliyofanya ni 0%Mwalimu kuna mazuri alifanya lakini hapa kuna namna alichemka sana
Tito Okello alikuwa raia wa Uganda. Anza kuchakata ushiriki wake katika mapinduzi ya ZanzibarAliye elewa mleta post anataka kutueleza nini atusaidie kufafanua.
Yaweza kuwa hoja hii ni nzito ila uwasilishaji tu.
Maana yake Zanzibar ni Nchi kamili. Mafuta ya Zanzibar sio ya Muungano.Aliye elewa mleta post anataka kutueleza nini atusaidie kufafanua.
Yaweza kuwa hoja hii ni nzito ila uwasilishaji tu.
Kumbe sio nchi?Tanzania ni yale mambo 6 ambayo Tanganyika iliomba kushirikiana na Zanzibar
Halafu kuna wazanzibari wako Tanganyika na full authority huku watanganyika wakiwa ni wageni Zanziba, huu muungano ni kichaaHata kama watu hawanaga akili, siyo kwa level hii ya Tanzania na Zanzibar kuonekana ni nchi mbili tofauti wakati tunajua ni nchi moja.
Nchi ni ZanzibarKumbe sio nchi?
Mkuu mbona unazidi kuchanganya mambo? Tito Okello tena? Unamjua Tito Okello kweli? Na hayo mapinduzi ya Zanzibar alishirikije?Tito Okello alikuwa raia wa Uganda. Anza kuchakata ushiriki wake katika mapinduzi ya Zanzibar
Zanzibar Wana rais na bunge, muungano ni wa nchi mbiliHata kama watu hawanaga akili, siyo kwa level hii ya Tanzania na Zanzibar kuonekana ni nchi mbili tofauti wakati tunajua ni nchi moja.