Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Nimeangalia matumizi ya GBs kwa robo mbalimbali nchini nimegundua kuna shida kwenye takwimu wanazotoa TCRA. Kwa robo ya mwisho ya mwaka 2022 walionesha kuwa tulitumia jumla ya GB Trilioni 90.1
Kwa robo ya kwanza ya mwaka 2023, data zimebadilika hadi kufikia GB milioni 48
Mimi niombe ufafanuzi kwa hili jambo kwa ripoti waliyotoa Decmber 2022 na ripoti ya March 2023.
Kwa robo ya kwanza ya mwaka 2023, data zimebadilika hadi kufikia GB milioni 48
Mimi niombe ufafanuzi kwa hili jambo kwa ripoti waliyotoa Decmber 2022 na ripoti ya March 2023.